The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

Ni matumaini yangu ID ya mshana jr iteandelea kudumu manake wadau wameshaizoea!

Hilo ni angalizo tu ndugu manake kwa utafiti niliofanya, moja ya sababu KUBWA KABISA ya watu ku-change ID ni vimeo vinavyoanzia MMU!

Na jukwaa la MMU ndilo linaongoza kwa wafuasi wake kubadili au kuzitelekeza ID...

Kwahiyo Mkuu Mshana, hizo mbwembwe za kujifanya una mahaba kwa Demiss tila tila hadi shetani anakuogopa, mimi wala hazinisumbui!

Tuambie kabisa, ID ya mshana jr ikiadimika ghafla tukufuatilie kwa ID ipi?! Au ndo kwa hiyo ID ya Jr (manake ushaanza matata mapema... badala ya Mrs. mshana Jr, oh Mrs. Jr)

NB: chige
is a new Research Fellow at Majungu & Fitinalization Research Institute of Women Studies!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom