Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni matumaini yangu ID ya mshana jr iteandelea kudumu manake wadau wameshaizoea!
Hilo ni angalizo tu ndugu manake kwa utafiti niliofanya, moja ya sababu KUBWA KABISA ya watu ku-change ID ni vimeo vinavyoanzia MMU!
Na jukwaa la MMU ndilo linaongoza kwa wafuasi wake kubadili au kuzitelekeza ID...
Kwahiyo Mkuu Mshana, hizo mbwembwe za kujifanya una mahaba kwa Demiss tila tila hadi shetani anakuogopa, mimi wala hazinisumbui!
Tuambie kabisa, ID ya mshana jr ikiadimika ghafla tukufuatilie kwa ID ipi?! Au ndo kwa hiyo ID ya Jr (manake ushaanza matata mapema... badala ya Mrs. mshana Jr, oh Mrs. Jr)
NB: chige is a new Research Fellow at Majungu & Fitinalization Research Institute of Women Studies!
Jambo Zuri Ila Usije NisahauNipo tayari kwa lolote kwenye upendo wa kweli hakuna kinachoshindikana
Anza na hiyo nux cokuchp...Ndoa changa mshaanza kuniharibia nitaondoka na mtu
Nitambulishe niwe wifi wa uhakika..!![emoji23] [emoji23]Fasheni
Hujajibu swali...mzigua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimesifiwa saana!Utanipa mrejeshooo
Hujambo??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijambo sumbai shikamooHujambo??
Hee hee naona hisia ndo zmechukua 95%Hivi itakuwa katumia tunguli au ni upendooo tu?
Ila mm ni upendo tu hakuna cha tungul wala nn
pm zenu ninazo zoooote![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Braza umeanza lini kunisingizia hvo?
Hahahahapm zenu ninazo zoooote!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Shangaa na wewe wakunyumba watu wanabadili jinsia kutokana na mazingira jf pekee ndio utakutana na hizi mambo
Kweli maa huyo mpaka kwa profile aliandika mwanaume leo kaandika mwanamke vinashangaza[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mahabaaa....Sijambo sumbai shikamoo
Alizimia nikaona huyu ataaacha rohooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbwembwe zote zile azimie???