McRiyckeel
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 2,070
- 12,596
kumbe ushaenda GHETTO kwa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe ushaenda GHETTO kwa mkuu
Wewe tena siwezJambo Zuri Ila Usije Nisahau
Waooooh nipe soda basiiiNimesifiwa saana!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Mshana melete rufiji kilingeni huyo halafu tumpeleke mafia kwa ustaadha tolu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]tunguliHee hee naona hisia ndo zmechukua 95%
Hzo tano n za tungur badae
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]shemaleKweli maa huyo mpaka kwa profile aliandika mwanaume leo kaandika mwanamke vinashangaza
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Whaat .me sikubali hata kidogo.ukioa mke mdogo bila bi mkubwa kukubali hyo ni kharamu
Ndiio maana ukanikazia, kumbe mambo ni motroooo!Waooooooh waooooh niseme nini mtoto wa kike
Hakika wewe peke yako unajua thamani yangu
Unajua kupokea madekooo yangu
Ni mwanaume pekeeee unayehimili mauno yanguuu ya feniiii ya panga boy
Mm sikubalian.na maneno ya watu kuwa umetumia tunguli kunipata
My husband Mshana
Narud tena nina barua ndefu sanaaaa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Whaaat??? Ngoja wewe sikubali
Umedanganywa nipo mjengoni kitambo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nitakuwa napita kusoma tu saiv nahamia jukwaa la mapishiutatumiss wana JF baada ya kuolewa
Dada sawa tuuuuuHallelujah
We mbayaaa...Dada sawa tuuuuu
mkuu atakula VINONONitakuwa napita kusoma tu saiv nahamia jukwaa la mapishi
Emmy, chereko na vigelegele tutegemee?Hatimaye mdogo wangu umedondokea kwa Muhenga. lol.
Haya na wewe uwe Kihenga henga sasa. Utoto tupa kule. Teh teh teh
Hahahaaa. Ndio Kaka sababu huwa ni tegemeo la kila mmoja.Emmy, chereko na vigelegele tutegemee?
Asanteeeee sanaNdiio maana ukanikazia, kumbe mambo ni motroooo!
BTW, hongera saaana