The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

Sasa jamani mibazazi ya JF msije mkaendelea kumnyapia huyu mtoto maana mshana jr kampiga code.

Gusa unate
Watageuzwaa visusio ulinzi aliyonipa sio wa nchi hii
image_search_1520239482941.jpeg
 
People make love through observing the work of writting in JF sidhani kama kweli writting ina reflect ukweli wa mtu
Teh
 
Waooooooh waooooh niseme nini mtoto wa kike

Hakika wewe peke yako unajua thamani yangu

Unajua kupokea madekooo yangu

Ni mwanaume pekeeee unayehimili mauno yanguuu ya feniiii ya panga boy

Mm sikubalian.na maneno ya watu kuwa umetumia tunguli kunipata

My husband Mshana

Narud tena nina barua ndefu sanaaaa
Ndiio maana ukanikazia, kumbe mambo ni motroooo!

BTW, hongera saaana
 
Back
Top Bottom