Hii mikwaraa hatar! Mshana Jr hachelewi kunigeuza toyoo!
Yo missedMy angel
HahahaNilikuona kule unanipa dongo mm nimemuiba shemeji wakat mwenzio kitambo tunguli zimeshanitekaaaaaa
Nilitaka nimpe hongera zake pia!Hahahaaa. Hiyo salamu yako ya Mubashara inanipa hofu ujue. [emoji12] [emoji12]
You are missed too my angelitah..!Yo missed
MmmhYou are missed too my angelitah..!
We wakiume, wakike?Na mm natafta
Couple yenu mwanaume ndo utakua unamkoleza dada hahahah lolHahahahaaaa
Yan nilichoandika lazima uchekee nasoma hisia tu za mtuHahahaaa. Kama umeniona vile.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji125][emoji125][emoji125]Hii mikwaraa hatar! Mshana Jr hachelewi kunigeuza toyoo!
Mmmh
I don't know what to say!!!
Hatar kabisaaa na kweli zimenitekaaaHahaha
Hakyamungu sio kwa tunguli hiziiii
Hapana siwez kabisa Mme ameshanikatazaaa
Hiyooo Avatar[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]We wakiume, wakike?