Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,768
sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa
Nipo tayar kumpenda yy na mikoba yakeHongera sana ila usimfundishe uchawi
[emoji112][emoji112][emoji112][emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112]
hapa ndipo napokosa definition ya mapenzi,ama kweli mapenzi upofuNipo tayar kumpenda yy na mikoba yake
Cc: mshana jr
sawaHahahaahaha poyeeeee
Cc: mshana jr
Nasahau mara nakuona unaendelea kumsubiri Demiss aachike umchukue. Mi vya kushare sitakiUsinifanyie hivyo tafadhali
Andika kwa herufi kubwa niamini.Nimechagua wewe mm, Demiss hapana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bundle la maua eeh [emoji1][emoji1]
Mapenzi upofuuuuuuuuhapa ndipo napokosa definition ya mapenzi,ama kweli mapenzi upofu
Hapana ni mdogo wangu tu huyoNasahau mara nakuona unaendelea kumsubiri Demiss aachike umchukue. Mi vya kushare sitaki
Hana shida yule my love wanguNgoja nimuiteee Us baby
DEMISS HAPANA, MM NI WEWEAndika kwa herufi kubwa niamini.
Mschrewwww. Nakuona tu unavyomgawa bby wangu. Ntakuroga DemissNakuonaa tu unavyohangaika nilikwambia nenda kwa H sent utulize moyoooo
Ndumba noma hatari sana
Atuache ndioTuachee we nenda kwa mlozi wako
Mara umeachana naye mara My love wako huelewekiHana shida yule my love wangu