The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

View attachment 711368

Mnataka mkamtoe roho yule wa Mwanza

Mwaka huuu kuna watu watajinyonga kwa kweliiii

Mnitumie mapicha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Tena nitayatuma kwa Mr miller

Oh noooo.

Sie hatuna Time na watu wengine.

Tunaenda kula raha zetu wenyewe.

Hatuko katika business za kutoa watu roho.

Mzigua all the way baby!!!
 
Oh noooo.

Sie hatuna Time na watu wengine.

Tunaenda kula raha zetu wenyewe.

Hatuko katika business za kutoa watu roho.

Mzigua all the way baby!!!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kama namuona anavyochungulia na id yule wa Mwanza yake
image_search_1520239479133.jpeg
 
Haters watajimurder. I love you too NN Cc Demiss
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hakuna mwanaume atakubali Mitala labda one night stand ya mambembeee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hata haelewi one night stand.
 
Chizi wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3]wewe ndo utakuwa wa kwanza kuwa na mitala ya kiumeee

Mr Miller

Mtu chake

Shida na raha

Mwenyekiti Ngabu[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Kwanza wengine wa nini bby na muda umeisha. Sisi ni [HASHTAG]#TeamEachOther[/HASHTAG]

Hivi bebi unayo Alexa nyumbani?

Hii kitu ni mwake sana.

Kama huna nambie...maana baadae naenda dukani. Nitakununulia.
 
Kwa uzuri wa Demiss hadi nakuonea wivu. Kipindi tunasoma Alikuwa Malkia wa darasa kitaaluma usafi na uzuri wa Sura. Heko mshana. Nakumbuka alivokuwaga ananyanyuka kwenda kuchukua zawad akiwa wa kwanza halafu mi wa pili namtaman mkeo ila namheshim maana sitak kunyata na skuna kwenye tiles
Hahahaaaaa dahh. Ila unampamba kwa kuotea au unamfahamu kweli?? Mie namfahamu vyedi hizo sifa wala hujakosea kasoro za shule ndo sijui ila kwa urembo tuu mashalaahh
 
Back
Top Bottom