Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
View attachment 711368
Mnataka mkamtoe roho yule wa Mwanza
Mwaka huuu kuna watu watajinyonga kwa kweliiii
Mnitumie mapicha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tena nitayatuma kwa Mr miller
@Nyani Ngabu wa Mwanza ni nani boo?View attachment 711368
Mnataka mkamtoe roho yule wa Mwanza
Mwaka huuu kuna watu watajinyonga kwa kweliiii
Mnitumie mapicha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tena nitayatuma kwa Mr miller
Keshatia neno.Mpaka Ngabu ajibu hapa ndo nitaelewaaa
Kwanza wengine wa nini bby na muda umeisha. Sisi ni [HASHTAG]#TeamEachOther[/HASHTAG]Oh noooo.
Sie hatuna Time na watu wengine.
Tunaenda kula raha zetu wenyewe.
Hatuko katika business za kutoa watu roho.
Mzigua all the way baby!!!
Kwa sababu ameshaoa basi hayo yote ni kazi yanguuu nitamnunulia skuna mpyaaaaNaiona skuna ya mtaalam jr,mrs jr uwe unamkumbusha jamaa kupiga polish bhasi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kama namuona anavyochungulia na id yule wa Mwanza yakeOh noooo.
Sie hatuna Time na watu wengine.
Tunaenda kula raha zetu wenyewe.
Hatuko katika business za kutoa watu roho.
Mzigua all the way baby!!!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Haters watajimurder. I love you too NN Cc Demiss
Chizi wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kama namuona anavyochungulia na id yule wa Mwanza yakeView attachment 711385
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]@Nyani Ngabu wa Mwanza ni nani boo?
Hata haelewi one night stand.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hakuna mwanaume atakubali Mitala labda one night stand ya mambembeee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Na mm nimeshatiaaaaKeshatia neno.
[emoji3][emoji3][emoji3]wewe ndo utakuwa wa kwanza kuwa na mitala ya kiumeeeChizi wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza wengine wa nini bby na muda umeisha. Sisi ni [HASHTAG]#TeamEachOther[/HASHTAG]
Nan haelewiHata haelewi one night stand.
Yule mambembeNan haelewi
Demiss ni mrembo sana mie namjuaaa. Hongera mshanaAh ah aha ah I Wish Nikuone Sura Yako Nione Jinsi Ulivyo Kuwa Na Tabasam My Cster Demiss
Hahahaaaaa dahh. Ila unampamba kwa kuotea au unamfahamu kweli?? Mie namfahamu vyedi hizo sifa wala hujakosea kasoro za shule ndo sijui ila kwa urembo tuu mashalaahhKwa uzuri wa Demiss hadi nakuonea wivu. Kipindi tunasoma Alikuwa Malkia wa darasa kitaaluma usafi na uzuri wa Sura. Heko mshana. Nakumbuka alivokuwaga ananyanyuka kwenda kuchukua zawad akiwa wa kwanza halafu mi wa pili namtaman mkeo ila namheshim maana sitak kunyata na skuna kwenye tiles