The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

[emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182]mida yetu ya video call hun usisahau leo nimevaa ile zawad uliyonitumia kwenye Kimbinyiko lazima nikuonyeshe jinsi nilivyopendeza.

Asante sana mme wanguuuuu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]mm siwez kusema kama ni revenge lakini kama atachukulia hivyo ni fikra zakeee tu zitakuwa zimemtuma.

Jr ni mfariji wanguuu amenishaur vitu vingi sana mpaka tukaingia ktk ulimwengu mzito wa mapenzi
Gudume umeachana nae juzi tu tangu lini umeingia katika penzi nzito na Jr!
 
Umewahi onana nae uso kwa uso na labda mna muda gani tangu mmeanza mahusiano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…