The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

Ukiondoa mapambio yote uliyomsifia demiss naomba kukuuliza maswali yafuatayo;

1,kuna mdau hapa kaweka nyuzi kadhaa za demiss zinazotia shaka kuhusu maadili yake, mf kutoa siri za chumbani hadharani
Je umejipangaje usije kuachwa uchi hapa one day!

2,pili ni vigezo vipi unadhani umekidhi matamanio ya demiss,kiasi kuwa hatakuacha kama mapeshee wengine aliokuwa nao!

3,humu ndani kuna wakongwe kibao ambao ulikuwa nao jf for years, kwanini hukuwaona wao,na turufu yako kumuangukia member mpya asiye hata na mwaka 1 humu!

Nahitaji majibu sahihi kama ni reality na si utopian love!

Nitarudi na mengine!
Asante sana kwa maswali mazuri... Haya ni maswali ya kidunia nje ya hisia za kweli za upendo na mahusiano.....
Naongea ukweli wa moyo hakuna binadamu aso mapungufu na hakuna mkamilifu hata mmoja.. lakini katika maisha we need to chill we need to celebrate...
Nisiongee mengi kuhusu yeye but SHE DESERVED TO BE LOVED! NA ZAIDI TO BE LOVED BY ME! I respect and adore her toka moyoni huwa siangalii background but from where tumeanza... Chamdeko is for real
 
Jr ni mwanaume anayetambua nn maana ya kumpenda mwanamke.

Jr anajua jinsi ya kuishi na mwanamke ktj mahusiano.

Jr anajua kupendaa anajua kumtreat mwanamke ampendayeee.

Jr ni mwanaume mwenye uelewa mpana katika kung'amua mambo na kuyatathmini.

Jr ni mwanaume wa tofauti sana ana uwezo wa kukuweka katika hali ambayo hukutegemea anasolve matatizo yanayomkabili mwanamke kwa uelewa wa hali ya juuu.

Ni mwanaume anayeelewa thamani ya mwanamke aliyenaye kifupi anajua kuishi katika dunia ya mahusianonkwa hali isiyoelezeka .

Amekamilika kila idara kuanzia kudekezaa na kunielimisha juu ya maisha .
Ambiele Kiviele utaendelea kunawa tu ila hautakula...
 
Nakojooaaaa demi wangu wee dekaaa mama dekaaa
 
Kwa muda gani umemjua Jr kinagaubaga hivi!.
Usitake niamini kipindi chote ulichokuwa mkiwa baada ya kuachwa na ex wako,Jr alikuwa mfariji wako pm!

Uliwahi dokeza kuwa ex wako ni member Wa jf,is this kind of revenge or payback!?
Guy pls muache basi.... We have understanding between us loh.. Tuko tayari kwenye relationship the past doesn't count jamani... Hukumuni from now onwards... Above all ni nani mtakatifu hapa... Let chamdeko enjoy her moments
 
You are forever mine
[emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182]mida yetu ya video call hun usisahau leo nimevaa ile zawad uliyonitumia kwenye Kimbinyiko lazima nikuonyeshe jinsi nilivyopendeza.

Asante sana mme wanguuuuu
 
Back
Top Bottom