Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23]Mzee nipe namimi hizo ndumba ulizotumia nimpate mrembo fulani hapa jf...
Yani weweWatu wasiojulikana wameshadukua tena akaunti ya Mshana jr!![emoji53][emoji53][emoji53]
Nini?[emoji4]Hatimaye
Hatusemagi hivi mapenzini!Hii ya kwangu nahisi haina Expire dateee
Tawile.akufunze kuchezea usinga na tungule!!!Leo rahaaaa tu
Hakuna kitu kama hichoHatusemagi hivi mapenzini!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tawile.akufunze kuchezea usinga na tungule!!!
[emoji182][emoji182][emoji182][emoji182]Watasubiri sana lovie
Aisee. yani mpaka natamani kuipigia nyeto hii comment [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwaaa
Habari zako , za moyo wako , za tabasamu lako , za kicheko chako , sauti yako na kila kitu kizuri chako ? Najua kila kitu kitakuwa safi sana kuanzia moyo wako mzuri na mtamu uliojaa upendo na mapenzi ya dhati kabisa ulio mkweli na mvumilivu . Angalia ndani ya moyo wako , utakuta hakuna kitu cha kuficha , pengine unaweza kuficha kwa sababu ni wajibu wa kila mtu katika maisha yake , lakini linapokuja suala la kupendana basi mambo ya kuficha hakuna tena kama ukiwa na uhakika kuhusu uhusiano wako . Nikifikiria kuhusu wewe , nafikiria kuhusu dunia ya mapenzi iliyo nyooka na iliyo katika njia sahihi kabisa , mpaka hapo jua tu mimi na wewe mpaka milele kwenye mabonde twende Dear ,
, baharini tuogelee hata hewani tutapaa . Tabasamu lako ambalo ndio nalipenda zaidi , na kila mara huwa nalihisi liko mbeleni mwangu lakini kama unavyojua muda mwingi uko mbali najaribu kufikiri tu je kama tungekuwa tuko wote masaa 24 siku 7 usiku na mchana sijui ningesema maneno gani kusema za ukweli namisi tabasamu lako maridani Kicheko chako ambacho nikisikia moyo wangu huenda kasi kuliko wakati wowote ule , Dear labda nikuambie kitu Fulani , mimi napenda sana kusikia vicheko , unajua kuna wakati ukiwa sehemu Fulani Fulani jinsi unavyocheka ndio watu wale wanavyoweza kukuweka katika kundi gani , wewe kicheko chako nakuweka katika kundi la wanadamu maridani . Hiyo sauti yako ni zaidi ya Jay zee honey kama hujui au hujawahi kusikia , Jay zee ndio mwanamuziki wa kiume mwenye sauti ya mvuto zaidi duniani mpaka sasa hivi .
Kuna nyimbo moja nzuri kabisa aliimba Coco lee na Julio Iglesius inaitwa WHEN U TELL ME THAT U LOVE ME naomba uisikilize na pengine ungeamua kuimba leo ningekuwa naandika kuhusu kitu kingine cha zaidi . Honey huwa napata furaha sana kila ninapopata wasaa wa kukuandikia email , kila ninapopata nafasi ya kukusalimia wewe , wengine hawapati nafasi hii kutokana na sababu zao mbali mbali , wengine hawana mikono ya kuandika , wengine wameachana na wapenzi wao , wengine wamegombana na wapenzi wao na kadhalika lakini mimi nafurahi nakuandikia email hii kwa furaha kuu kuliko zote . Kikomo naishia hapa , naomba tuendelee kuwasiliana siku nyingine tena , mwisho wa barua moja ndio mwanzo wa barua nyingine nzuri na bora zaidi , kwahiyo usijali sana mr wangu .
Natamani ningekuwa kengele
Ningelia unisikie hapo ulipo
ni wako barafu wa moyo
[emoji813]••.¸¸.• mahabat •.¸¸.••[emoji813]
Cha mdekoooooooooooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tawile.akufunze kuchezea usinga na tungule!!!
Mkuu mshana kumbe Tunguli zinasaidia sana..Khaa kaniandikia mimi wewe