The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

Nimeshawaona tayari ni wale wale wa siku zote japo baadhi wamekuja kwa ID mpya... Ujumbe wangu kwao... Love don't hate.. Hatred brings stress diseases and old age..
image_search_1520784804987.jpeg
 
Mambembe yupo huko atawaburudisha mm saiv naenda kwenye mapishi
Huyo wala hachukui muda wajamaa humu wakiona mbai wanachomoa

Naye Daby anachungulia tu subiri uone mahonda alikuwa hivi hivi kisha fichwa

Ndo maana tunasema mtt wa kike kurukaruka ni muda mfupi sana anaingizwa kwapani

Teh
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]sawa
 
Back
Top Bottom