Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mme nimesahau kukutumia ile picha ngoja niende tsap sasa hiviSoul mate... Soul vibrator... Hun
Oky mfalme wa moyo wanguuuPouwa mumie wa mimi fanya hivyo twende kule tutete
KabisaaaaKazi na dawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kutoka kwenye ndumba hadi kwenye mapenzi??? Ama kweli tutaona mengi mwaka huu
wanawake mungu anawaona
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanaume nao wanaonwa na nani? Pengine shetani 😀 😀 😀
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Soul mate... Soul vibrator... Hun
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kutoka kwenye ndumba hadi kwenye mapenzi??? Ama kweli tutaona mengi mwaka huu
Asante mme wanguuuu soon nitakuletea baby JrMmmmwaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jinga sana wewe kinachokufurahisha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wakati mioyo yenu inavibrate kwa mapenzi mimi moyo unavibrate kwa kucheka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio maana nimemwambia atingishe tunguli zikae sawa tayari kwa kushambulia haters