Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Nakufatilia kwa karibu sanaHahahaaa Vale upo!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakufatilia kwa karibu sanaHahahaaa Vale upo!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji8] [emoji8] [emoji39] [emoji39] [emoji7] [emoji7] charm decor wangu watu wanawahi bafuni na vichelema ujueHane muno pale kwenye kijumba chetu tayar mazingira yapo safiiiiii
Na mazoezi nilishafanya yankuzungusha unooooooooooooooo taratibu.
Mwenzangu hata mie naonaMahaba mlinganyoooooo
Naona atakuwa anachungulia tu silaha zimempiga haswaaaaaaaNa habari hii imfike yule bazazi[emoji35] [emoji35] [emoji35]
Mamaaaaaaa kwishineThe happiest day ever.. Sensational n very romantic.... Its official announcement kwamba from today miss Demiss (chamdeko) is officially known as Mrs Jr[emoji769]
Napenda kudekewa na mtoto anajua kudeka! Napenda kuringiwa! Chamdeko ana hicho kipawa.. Napenda rangi ya dhahabu, vidole vya kike na lips [emoji182] zake! Sijayataja macho, mguu wa hadhi kishoes next level... Kiuno nyonga je? Asikwambie mtu mungu fundi na kalithibitisha hilo kwa the only one I truly adore.... That's Demiss chamdeko officially known as Mrs Jr
Karibu kinda langu unidekee mpaka roho zipate jakamoyo... Usijali mkubwa Angel Nylon katoa kibali kusaidiwa majukumu
Its only you Demiss... You know the feeling we have between our internal soulsView attachment 710174
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji8] [emoji8] [emoji39] [emoji39] [emoji7] [emoji7] charm decor wangu watu wanawahi bafuni na vichelema ujue
Acha kabisaaaaaMwenzangu hata mie naona
NnMamaaaaaaa kwishine
Uke wenza umekuponza Ete wateseka eeee,mapenzi ya wake wawili hayawezi kuwa ya kweli,yangelikuwa ya kweli Eteee yasingekukuta,ungeyajua mama MAPEMA katu usingejitosa,uke wenza umekuponza watesekaeee
Uke wenza umekuponza Ete wateseka eeee,mapenzi ya wake wawili hayawezi kuwa ya kweli,yangelikuwa ya kweli Eteee yasingekukuta,ungeyajua mama MAPEMA katu usingejitosa,uke wenza umekuponza watesekaeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Too late.
Kaka loh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nee niishi kuteiye kubwa la maaduiUke wenza umekuponza Ete wateseka eeee,mapenzi ya wake wawili hayawezi kuwa ya kweli,yangelikuwa ya kweli Eteee yasingekukuta,ungeyajua mama MAPEMA katu usingejitosa,uke wenza umekuponza watesekaeee
Mchezo huu hautaki hasira bro taratibuKaka loh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nee niishi kuteiye kubwa la maadui
Sawaaa hunMy lovely soul shee wako huyo