The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

Unajua Yule Jamaa akijaga akiona Iv Ndio Uchiz Unapo Muanzia Hapo
 
Atasisimka mwili kabisaaa akumbuke mauno yangu [emoji23][emoji23][emoji23]

Hebu muite aje hapa nimbebisheeee bhn
Yupo Katika Pilika Pilika Za Kimaisha Nw Ila Kuna Kitu Katika Ile Comment Yako Akiona Atacheka Tuuuuu
 
Yupo Katika Pilika Pilika Za Kimaisha Nw Ila Kuna Kitu Katika Ile Comment Yako Akiona Atacheka Tuuuuu
Yan ni kazi yangu kumfanya babu yakooo atabasamu mudaaa woteee [emoji23][emoji23][emoji23]kuna mida anageuka paka mwenzio napat wakat mgumu [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Unaweza kimbia ukaacha kitanda
 
Jirani yako Jolie Jolie toka lini wewe?

Mwifwa naye namshangaaa kuna mwanamke anampenda alafu yeye sijui anampenda nan? Hebu muulize basi utanichombeza piem
Ah ah ah ah ab Nitafarijika Wakija Na Nitakuwa Na Power Ya Kujib Haya uliyo Yasema

Ila Jolie Ni Jilan Yangu Aswaaaahh
Mwifwa Na Yeye Ni Shemeji Yangu Wa Damuuuu Kabisaaaa
 
Yan ni kazi yangu kumfanya babu yakooo atabasamu mudaaa woteee [emoji23][emoji23][emoji23]kuna mida anageuka paka mwenzio napat wakat mgumu [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Unaweza kimbia ukaacha kitanda
[emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ile Ndio Inakuwa Mida Ya Wanga Naona Siku Iz Hakuna aja Ya Kufunga Geti...!!!! ulinz Upo Wa Kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…