The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

Hakikisho la mapenzi: . . umeingia moyoni
mwangu kukutoa itakuwa ngumu sana,wajua
moyo huwa unafunguliwa mara moja hasa kwa
ile true love . . .

Alafu na ile suprise yangu ya Next week nakonda na mawazoo mwenzioooo .

Mapigo ya moyo yanaongezeka kwa kasiiii sana kila nikiwaza promise yakooo uliyonipa [emoji182][emoji182][emoji182]

Nakupendaaaa
 
Mmwaaaa[emoji8] [emoji7] [emoji8] [emoji7] [emoji7] [emoji23] [emoji111]
 
Kwa kawaida busu la mafanikio hubusiwa
usoni, busu la amani hubusiwa mashavuni,
busu la upendo hubusiwa mdomoni, busu la
mapenzi hubusiwa shingoni, Je wapi nikubusu
ili unipende milele mme wangu?
na mm naruhusiwa kujibu?
 
Back
Top Bottom