Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Duh Joseverest kuja ujibu hapaYan mwanamke aliyetambulishwa pote kuanzia kwenye familia amewekwa profile picture kawekwa ndani ya mjengo huyo ni PUBLIC
Mwanamke ambaye hajatimiziwa hayo au ni mchepuko kwa sababu mwanamme anao wengi anakosa wa kumtambulisha huyo ni PRIVATE