The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

Mambo ni motoooo
Mambooooo ni[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
 
We jamaaa mbona hizi ni tabia za kichawi. Unajua kuwa mshana ni retired mganga??
Halafu kwa wale waKristo, mwanaume anapenda kama Yesu alivyopenda kanisa.

Na Yesu anapenda wenye dhambi, ninachoamini Demiss anaweza awe mwaminifu na hatimaye mabaya yake yakafutika moyoni mwa Mshana

Na kama Mtu hana sifa ya kusamehe basi hajui na wala hawezi kupenda.
 
Mapenzi yako yatimike, utakalo lifanyike, maana Muumbaji hakuona vyema uishi peke yako.

Mke anasifiwa utii na uaminifu; mwanaume upendo... upendo katika kila hali, katika utajiri na katika umaskini, katika wingi na katika uchache.

All the best.
Nashukuru asante sanankwa maneno yaliyobeba ujumbe mzitooo nayaweka kichwani nitayatiiii kwa moyo wangu wote.

Nakupenda my husband 2be Mshana jr
 
Hivi wakuu, haya mapenzi na ndoa za humu jf huwa ni kweli au ni changamsha genge tu? Nyuzi za namna hii siku hizi zimejaa humu na zimekaa kishua zaidi. Kuna wakati nahisi mimi kapuku nawabana kabisa!
Hahahahahaaaa

Mkuu wewe kunywa tu ghahawa ukitosheka unasepa
 
Halafu kwa wale waKristo, mwanaume anapenda kama Yesu alivyopenda kanisa.

Na Yesu anapenda wenye dhambi, ninachoamini Demiss anaweza awe mwaminifu na hatimaye mabaya yake yakafutika moyoni mwa Mshana

Na kama Mtu hana sifa ya kusamehe basi hajui na wala hawezi kupenda.
Yan mkuuu sijui niseme neno gan juuu ya haya unayoyasemaaa

Zaidi tu tuombeane uzimaaa
 
Back
Top Bottom