Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Kupatwa kwa mahabaUnaponishika ngozi yangu nasisimka, unaponinong’oneza naishiwa nguvu, pumzi zako zinanipandisha midadi ya mahaba.
Naomba leo hata kesho uongeze utundu na ubunifu niweze kukolea zaidi kwenye mahaba yako.
Ni vigumu kuona mwisho wa penzi letu kwani nitakuwa nimeshakufa....