Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Kupatwa kwa mahabaUnaponishika ngozi yangu nasisimka, unaponinong’oneza naishiwa nguvu, pumzi zako zinanipandisha midadi ya mahaba.
Naomba leo hata kesho uongeze utundu na ubunifu niweze kukolea zaidi kwenye mahaba yako.
Ni vigumu kuona mwisho wa penzi letu kwani nitakuwa nimeshakufa....
Wacha niringe dada ukipendwaa ringaaaaKupatwa kwa mahaba
Oooh hubyUko wapi nikufuate... Niambie nipajue... Amichi yuuu
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji817] [emoji779]Hakika nakwambia mpenzi wanaokutamani ni wengi lakini ni mimi tu mwenye hayo mapenzi ya kweli.
Ziba masikio na usiwasikilize,nia yao watugombanishe.
Nipende daima laaziz wangu!!
Zaa asubuh hunMmmwaaaa
Nimekumbuka jana mweeeeeh nacheka peke yanguuuu[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji8]
[emoji16][emoji16][emoji16]teh teh hiv nasikia mtu akinywa balimi anaongea ukweli akiiiiiih ni vitukoooo kuna mengine nahadithiwa saiv sna mbavuuuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lubisi si mbege na mbege si balimi
Nifundishe kucheka kidaslamKumekuchaaaaaaa na makuchaaa yakeeeeee
Ahahhhahh[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]Nifundishe kucheka kidaslam
Hiiiiiihiiii hii ya vidole juu sitaki,bora unifundishe kicheko kingineAhahhhahh[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
Song : Kuchh Kuchh Hota HaiHiiiiiihiiii hii ya vidole juu sitaki,bora unifundishe kicheko kingine