Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,366
- 14,167
Mhhhh..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hakuna cha tunguli ni upendooo tu.
Nakupenda sana Mshana jr mwanaume wa pekeeeeeeeeee kwenye hii dunia.
Asanteee aiseeee wewe ni muelewa sana kupenda ni kitu cha ajabu sanamshana jr nae ni binadamu kama wengine,hatumii petrol.. Ana moyo wa nyama,na anapenda pia! Kumuhukumu Kwa hili sidhani kama ni haki..najua Kwa wale waliozoea zile nondo zake lazima waone tofauti..Hongera zao though kama wako serious.
Mambooooo ni[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]Mambo ni motoooo
Demiss peke yake anauwezo wa kuvua hiyo miwani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Halafu kwa wale waKristo, mwanaume anapenda kama Yesu alivyopenda kanisa.We jamaaa mbona hizi ni tabia za kichawi. Unajua kuwa mshana ni retired mganga??
Nashukuru asante sanankwa maneno yaliyobeba ujumbe mzitooo nayaweka kichwani nitayatiiii kwa moyo wangu wote.Mapenzi yako yatimike, utakalo lifanyike, maana Muumbaji hakuona vyema uishi peke yako.
Mke anasifiwa utii na uaminifu; mwanaume upendo... upendo katika kila hali, katika utajiri na katika umaskini, katika wingi na katika uchache.
All the best.
Wala usiwe na pressureHongera mtupe update kama The Bold na Nifah.
Ukimvua mpige picha unitumie PMDemiss peke yake anauwezo wa kuvua hiyo miwani
Shemale alafu ndo wanaongoza kwa wivuuuuTatizo na wenyewe hawana uhakika na jinsia zao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pamojaaa sna wifiiii nashukuru kwa hilooooKaribu nyumbani wifi. Siku ukiletwa tutakuandalia ngoma kali ya mdundiko
HahahahahaaaaHivi wakuu, haya mapenzi na ndoa za humu jf huwa ni kweli au ni changamsha genge tu? Nyuzi za namna hii siku hizi zimejaa humu na zimekaa kishua zaidi. Kuna wakati nahisi mimi kapuku nawabana kabisa!
Hapa nilipo nalia tu yan naliaaaaaa vibaya mnohata mi naona🙂
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hehe mkuu tayari....
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kwahiyo nimedukuliwa na mitambooo ya Mshana jrMhhhh..
Kuwa makini usikute hapo sio wewe tena ni akili nyingine
Hahahahahahah!! Sawa mkuuHahahahahaaaa
Mkuu wewe kunywa tu ghahawa ukitosheka unasepa
Yan mkuuu sijui niseme neno gan juuu ya haya unayoyasemaaaHalafu kwa wale waKristo, mwanaume anapenda kama Yesu alivyopenda kanisa.
Na Yesu anapenda wenye dhambi, ninachoamini Demiss anaweza awe mwaminifu na hatimaye mabaya yake yakafutika moyoni mwa Mshana
Na kama Mtu hana sifa ya kusamehe basi hajui na wala hawezi kupenda.