The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

Niko hapa mme usisahau baadae video call nikiw nimelala kitandani nimejifunika shuka mpaka mabegani

Oooo vipi kuhusu voice note za kudekaaa my hun zote nitakutumiaaa ziweze kufanya usiku wako uwe mtamu kama tupo pamojaaaa
I just can't forget yesterday nite tulipopotea hewani..... [emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Hahahaha dogo usijaribu siku nyingine..nilikuambia nitakuvuruga ubongo na sasa ata kuandika unaona aibu maana utazidi kufichua magimbi uliyonayo kichwani.

-hiyo pumba ni matokeo ya bi mkubwa wako kuyala hayo mapumba kias kwamba wakati msukule umezaliwa alikunyonyesha maziwa ya pumba...rubbish!!

-- bado nasubiri majibu--

TII KIU YAKO

Matapishi
 
Naomba unikabidhi tunguli kwa kipindi hichi ukiwa na cha mdeko niweze kukuhifadhia
image_search_1520698192944.jpeg

Nampenda mshana na tunguli zakeee
 
Back
Top Bottom