The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

Waooooooh waooooh niseme nini mtoto wa kike

Hakika wewe peke yako unajua thamani yangu

Unajua kupokea madekooo yangu

Ni mwanaume pekeeee unayehimili mauno yanguuu ya feniiii ya panga boy

Mm sikubalian.na maneno ya watu kuwa umetumia tunguli kunipata

My husband Mshana

Narud tena nina barua ndefu sanaaaa
[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
 
Hili jukwaaa hakika tutalikimbia navomjua demiss ukibadili kidogo tu unapata demon hatari

Hatutalala hasa wale ambao tulikuwa tumeshaaanza kuhonga vichupi nn da

Mshana kaloga ile mbaya

Any way

Teh
 
Hili jukwaaa hakika tutalikimbia navomjua demiss ukibadili kidogo tu unapata demon hatari

Hatutalala hasa wale ambao tulikuwa tumeshaaanza kuhonga vichupi nn da

Mshana kaloga ile mbaya

Any way

Teh
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom