Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Kuna haja gani kuwa na siasa za kisanii huku wananchi wanamatatizo ya maji, afya elimu na miundombinu?
Inasaidia nini kuwa karibu na wananasiasa ambao wataonyesha kuwa mna mahusiano nao mazuri kisanii huku kuna ufisadi unaowagharimu wananchi wanyonge?
Kwani siasa zinataka kuwe na collusion ili kubariki ufisadi, utapeli na siasa za kilaghai?