Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Hivi katika historia ya nchi yetu kuna kipindi kiliwahi kutokea uongozi wa kisanii kama ilivyokuwa wakati wa Mzee wa Rubambangwe? Labda tujikumbushe japo kwa uchache. Mikopo ya hatari iliyokopwa ktk mabenki ya biashara huku tukiaminishwa kuwa nchi yetu ni "Donor county", kupora korosho za wakulima, kupora fedha kwenye bureau de change Arusha, kupora fedha za rambirambi huko Kagera, kupora watumishi madaraja yao na kuondoa annual salary increments kinyume cha Sheria.Kuna haja gani kuwa na siasa za kisanii huku wananchi wanamatatizo ya maji, afya elimu na miundombinu?
Inasaidia nini kuwa karibu na wananasiasa ambao wataonyesha kuwa mna mahusiano nao mazuri kisanii huku kuna ufisadi unaowagharimu wananchi wanyonge?
Kwani siasa zinataka kuwe na collusion ili kubariki ufisadi, utapeli na siasa za kilaghai?
Kwani hayo maji na afya yanaletwa na Wasanii au Wanasiasa?Kuna haja gani kuwa na siasa za kisanii huku wananchi wanamatatizo ya maji, afya elimu na miundombinu?
Inasaidia nini kuwa karibu na wananasiasa ambao wataonyesha kuwa mna mahusiano nao mazuri kisanii huku kuna ufisadi unaowagharimu wananchi wanyonge?
Kwani siasa zinataka kuwe na collusion ili kubariki ufisadi, utapeli na siasa za kilaghai?
Eti Rubambagweπ€£π€£π€£Kuna haja gani kuwa na siasa za kisanii huku wananchi wanamatatizo ya maji, afya elimu na miundombinu?
Inasaidia nini kuwa karibu na wananasiasa ambao wataonyesha kuwa mna mahusiano nao mazuri kisanii huku kuna ufisadi unaowagharimu wananchi wanyonge?
Kwani siasa zinataka kuwe na collusion ili kubariki ufisadi, utapeli na siasa za kilaghai?
Pole martin umekosa content rudi kijijini hakuna kesi ya kurekodi tena. Vijana tafuteni kazi sio kuishi kiujanjaKuna haja gani kuwa na siasa za kisanii huku wananchi wanamatatizo ya maji, afya elimu na miundombinu?
Inasaidia nini kuwa karibu na wananasiasa ambao wataonyesha kuwa mna mahusiano nao mazuri kisanii huku kuna ufisadi unaowagharimu wananchi wanyonge?
Kwani siasa zinataka kuwe na collusion ili kubariki ufisadi, utapeli na siasa za kilaghai?
Wajuaji hawa wamekosa pumzi. Nchi kwa sasa ipo mikono salama. Waende space na ferlain waoHivi kwa nini msihamie Burundi kwenu? Tumechoka kusikia huu upuuzi wenu wa huyo ibilisi aliyeivuruga nchi yetu
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Wewe unakaribia kufa bila kupigwa risasi Wala kunyweshwa sumu. Kwa uandishi wako Nyankurungu2020 sikuoni ukifika 2024. Maana uko highly depressed. Lazima umfuate Magufuli huko aliko frustration yako ni ya kiwango cha hatariKuna haja gani kuwa na siasa za kisanii huku wananchi wanamatatizo ya maji, afya elimu na miundombinu?
Inasaidia nini kuwa karibu na wananasiasa ambao wataonyesha kuwa mna mahusiano nao mazuri kisanii huku kuna ufisadi unaowagharimu wananchi wanyonge?
Kwani siasa zinataka kuwe na collusion ili kubariki ufisadi, utapeli na siasa za kilaghai?
Acha kupotosha umma, wananchi waliona kwa macho mazuri aliyofanya.Hivi katika historia ya nchi yetu kuna kipindi kiliwahi kutokea uongozi wa kisanii kama ilivyokuwa wakati wa Mzee wa Rubambangwe? Labda tujikumbushe japo kwa uchache. Mikopo ya hatari iliyokopwa ktk mabenki ya biashara huku tukiaminishwa kuwa nchi yetu ni "Donor county", kupora korosho za wakulima, kupora fedha kwenye bureau de change Arusha, kupora fedha za rambirambi huko Kagera, kupora watumishi madaraja yao na kuondoa annual salary increments kinyume cha Sheria.
Kwa ushahidi huo mdogo, Mzee wa Rubambangwe utamfananisha na nani kwa usanii na utapeli?
Ni vyema kumuombea apumzike kwa amani huko alipo badala ya kutonesha majeraha yaliyotokana na bingwa wa sanaa za maonesho kutoka Rubambangwe.
Acha kukaririshwa.Eti Rubambagweπ€£π€£π€£
Sukumq Gang mnateseka sana.
Sio kihivyo. Labda kwa matapeli.Mwanasiasa akishahakikishiwa ulaji ye na watoto zake basi inakuwa imeisha yao. Nyie wengine mtaendelea kuwa wapenzi mashabiki.
Kama ufisadi gani? Huu au? πKuna haja gani kuwa na siasa za kisanii huku wananchi wanamatatizo ya maji, afya elimu na miundombinu?
Inasaidia nini kuwa karibu na wananasiasa ambao wataonyesha kuwa mna mahusiano nao mazuri kisanii huku kuna ufisadi unaowagharimu wananchi wanyonge?
Kwani siasa zinataka kuwe na collusion ili kubariki ufisadi, utapeli na siasa za kilaghai?
Ulimaliza la saba?
Niliishia la kwanzaUlimaliza la saba?
Ndio maana unapost upuuziNiliishia la kwanza
Hasira za Mbowe kukataliwa utapeli wake. Ripoti ya CAG inapotoshwa
Inapotoshwa na CAG au na nani sasa? Huyo CAG aliteuliwa na nani? Tena hapo kawastahi Sana tunayajua mengi maovu.Hasira za Mbowe kukataliwa utapeli wake. Ripoti ya CAG inapotoshwa
Tumia akiliInapotoshwa na CAG au na nani sasa? Huyo CAG aliteuliwa na nani? Tena hapo kawastahi Sana tunayajua mengi maovu.