The man of the moment-kkenya

The man of the moment-kkenya

Mfamaji

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2007
Posts
6,630
Reaction score
1,945
It is Uhuru Kenyata, the new 4th President of the Republic of Kenya. Bila shaka mama yake atakuwa the heapiest woman in the world, having two men from her kingdom - father and son as presidents of Kenya in different times.

Hongera Uhuru.
 
It is Uhuru Kenyata, the new 4th President of the Republic of Kenya. Bila shaka mama yake atakuwa the heapiest woman in the world, having two men from her kingdom - father and son as presidents of Kenya at different times.

Hongera Uruhu.
 
Hongera zangu. Hivi huu ni ushindi wa Wakenya au wa Wakikuyu? Ukabila bana!

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Wakenya wameamua, kama ni ukabila au nini ni shauri yao. Ila ni uchaguzi ulioendeshwa vizuri kwa maoni yangu of course.

Watanzania na hasa magamba wajue mambo ya kihuni yalishapitwa na wakati.
 
Well Done ARUSHA... ICC Wateja Wakuu wanakuja RUTO na UHURU Raha tupu...
 
Kuna tetesi Uhuru anamiliki robo ya aridhi ya kenya,pia anaungwa mkono na matajiri wengi wa Kenya,inasemekana pia aliwaonga pesa nyingi vijana wa ICT ili wakorofishe mashine za kuhesabia kura,kama tume ya uchaguzi Kenya wasinge shtukia mapema ushindi ungekuwa wa kishindo zaidi ya ilivyo kuwa.Hizo nitetesi chanzo chake mitaani.
 
Wakenya wameamua, kama ni ukabila au nini ni shauri yao. Ila ni uchaguzi ulioendeshwa vizuri kwa maoni yangu of course.

Watanzania na hasa magamba wajue mambo ya kihuni yalishapitwa na wakati.

Hawa jamaa wamekomaa kisiasa, ingekuwa Tanzania yetu jamaa wa Magamba hawakubali kushindwa hata kama wameshindwa.Wakenya Hongereni sana kwa kupata kiongozi Mpya.Kwa upande mwingine Hongera sana 4th President, KENYATTA in KENYa
 
Vipi jamaa wanamkono wao...?

Ha ha haaaaaa.Unakwenda mbali sana kuna familia zimebalikiwa na uongozi pia ni Karama kutoka kwa Mungu. Na Wazazi nao watuombee watoto wao mzuri. That family bless by God from the begining.
 
It is Uhuru Kenyata, the new 4th President of the Republic of Kenya. Bila shaka mama yake atakuwa the heapiest woman in the world, having two men from her kingdom - father and son as presidents of Kenya in different times.

Hongera Uhuru.

...Nami pia nampongeza kwa hilo... Mama Fatuma Karume naye alipata bahati hiyo kama Mama Ngina aliyoipata... ajenge umoja.. mshikamano ... inasemekana hakwenda kufanya kampeni maeneo ya Kisumu kabisa.. na hicho ndicho watu wa Kisumu kinachowauma kwamba hakwenda kwao.. sasa atakuwa Rais wao lakini alionyesha kuokuwajalu kabla....Kumbe mabadiliko ni kitua cha kawaida.......

Back
Top Bottom