Yaliyopita si ndwele tugange yajayo.View attachment 2492491
Mwacity mliuza huyu mchezaji mlikuwa na akili timamu kweli
Mpaka ifike atakua kaponaFoden anaweza asiwepo kwenye game ya Arsenal FA. Injury
Nadhani dogo angetusaidia sana kwa kipindi hichi ambacho Joaò hayuko formZinchenko is the special one ....!!
We sold zinchenko and bought sergio gomez wtf..View attachment 2492491
Mwacity mliuza huyu mchezaji mlikuwa na akili timamu kweli
Na tukikutana na arsenal atatusumbua kweli kweli [emoji3]...We sold zinchenko and bought sergio gomez wtf..
silaha tulizozitengeneza wenyewe ndio zinatumika kutunyima amani!
Pep alishasema hawezi kumzuia mchezaji yeyote kama akitaka kuondoka.Na tukikutana na arsenal atatusumbua kweli kweli [emoji3]...
Zinchenko hata kwenye game ya mwisho against villa alituokoa ,Kwa kutoa assit Kwa rodri ...
Binafsi Zinn kuondoka niliona kama pep kakurupuka ...
Hawezi kuwa fit kuanza.Mpaka ifike atakua kapona
Oya Carrasco putin kumbe we shabiki Ia arsenyeto boya wee
Yametimiaaaa....am sooo darn happy yooowView attachment 2493366
Subri uone,huyu na alvarez ni motooooo we subr tuTumepigwa hapa
Huyo ni mkata umeme hana mbambamba...As much as siwafagalii maajentina but yooow men the lads have got what it takes.
Julian now anaanza aminika,i blv perron wont disappoint too
Atatua etihad mwezi ujao....sasaivi anaenda kulitumikia taifa lake kwenye mashindano ya U 20Yametimiaaaa....am sooo darn happy yooowView attachment 2493366
Huyu kwenye mechi 33 alizocheza senior team ana kadi za njano 13The guy is so aggresive off the ball.