Cornwallis
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 940
- 853
Nimejaribu kumfuatiliafuatilia kidogo kwenye vi clip.Huyu kwenye mechi 33 alizocheza senior team ana kadi za njano 13
Ana shida ya kufanya unnecessary fouls, japo tunaweza tukasema ni kutokana na timu anayotoka. Wale velez wanacheza kama tottenham, kujihami sana, muda mwingi wanakuwa under pressure.
Kwakua city tunakuwa na mpira muda mwingi labda inaweza ikasaidia.
Ukiachana na hilo, he is a modern CM, excellent passer.