The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Huyu kwenye mechi 33 alizocheza senior team ana kadi za njano 13
Nimejaribu kumfuatiliafuatilia kidogo kwenye vi clip.

Ana shida ya kufanya unnecessary fouls, japo tunaweza tukasema ni kutokana na timu anayotoka. Wale velez wanacheza kama tottenham, kujihami sana, muda mwingi wanakuwa under pressure.

Kwakua city tunakuwa na mpira muda mwingi labda inaweza ikasaidia.

Ukiachana na hilo, he is a modern CM, excellent passer.
 
Msimu uliopita baada ya mechi 19 kwenye ligi
Man city ilikuwa imefunga magoli 50 imefungwa 12.

Msimu Huu baada ya mechi 19 imefunga magoli 50 imefungwa 20.

Maana yake defence ya man city msimu huu ni fragile kuliko msimu ulopita.
 
Huyu sasa mbona kama mvunja kuni kadi zote hizo?
Ni mcheza faulo mzuri sana. Ila softy game pia Yuko vizuri, ana passing accuracy kubwa.
Nadhani ndio hicho kimemvutia pep.

Ana potential, hayo mengine pep atam transform awe perfect product.
 
Msimu uliopita baada ya mechi 19 kwenye ligi
Man city ilikuwa imefunga magoli 50 imefungwa 12.

Msimu Huu baada ya mechi 19 imefunga magoli 50 imefungwa 20.

Maana yake defence ya man city msimu huu ni fragile kuliko msimu ulopita.
We' ve concede most of goals from counter attacks.

Tofauti na msimu uliopita, msimu huu mipira mingi inapotelea kwenye box la timu pinzani kwasababu hatuna presence ya kutosha ndani ya box.
Pasi nyingi na kross zinapigwa kumtafuta Haaland all the time.

Matokeo yake tunakuwa exposed Mara kwa Mara kwenye counter attacks ukizingatia na style yetu ya kucheza high line.
 
Ni mcheza faulo mzuri sana. Ila softy game pia Yuko vizuri, ana passing accuracy kubwa.
Nadhani ndio hicho kimemvutia pep.

Ana potential, hayo mengine pep atam transform awe perfect product.
Huyu anaweza akatolewa kwa mkopo ama kalvin Phillips aondoke ili Kuaccomodate nafasi yake...ni ngumu kuwa nao wote 3 kwa wakati mmoja.
 
Guys we need a natural left back.

Hatuwezi kumtegemea Ake siku zote ambaye naturally ni center back.
Cancelo Yuko kwenye default mode, sergio Gomez tulipigwa.

Kuna tetesi tunamtaka Ferland Mendy.
 
Guys we need a natural left back.

Hatuwezi kumtegemea Ake siku zote ambaye naturally ni center back.
Cancelo Yuko kwenye default mode, sergio Gomez tulipigwa.

Kuna tetesi tunamtaka Ferland Mendy.
Umemsahau na kitombi Benjamin Mendy.
 
Nadhani Philips ataondoka.
Ila Mimi naona Philips anachokosa ni confidence tu.

Perrone bado kuna vitu anahitajika kuimprove.

Naona kwa huu muda uliobaki angepelekwa kwa mkopo sehemu nyingine then summer arudi kama tulivyofanya kwa Alvarez.
 
[emoji170]
FB_IMG_1674569077952.jpg
 
Argentina U20 wanaweza wakatolewa kwenye mashindano ndani ya wiki hii.

Jana wamepigwa tena na brazil.

Wakitoka maana yake Perrone atatua manchester mapema kuliko ilivyotarajiwa.
 
Fixtures zetu za January tumevuna point 13 kati ya 18 zilizokuwepo. Tumepoteza point 5.

Leeds- win
Everton- draw
Chelsea- win
Man utd- lose
Spurs- win
Wolves- win

13/18

72.2% efficiency.


February coming up next.
 
February tuna mechi 5 za ligi na 1 ya UCL.

February 5 sat, EPL
-Tottenham vs Man City


February 12 sun, EPL
-Man city vs Aston Villa


February 15 wed, EPL
-Arsenal vs Man City


February 18 sat, EPL
-N. Forrest vs Man City


February 22 wed, UCL
-RB Leipzig vs Man City


February 25 sat, EPL
-Bournemouth vs Man City


Available points: 15
I predict 10+
 
2018/2019 ...

Baada ya game 19 tulikuwa hapo ...kumbuka baada ya hapo tulienda 14 games W na Liverpool alisuasua kidogo ..
FB_IMG_16746641014402110.jpg
 
February tuna mechi 5 za ligi na 1 ya UCL.

February 5 sat, EPL
-Tottenham vs Man City


February 12 sun, EPL
-Man city vs Aston Villa


February 15 wed, EPL
-Arsenal vs Man City


February 18 sat, EPL
-N. Forrest vs Man City


February 22 wed, UCL
-RB Leipzig vs Man City


February 25 sat, EPL
-Bournemouth vs Man City


Available points: 15
I predict 10+
Hapo game ya asenyo ndio itakuwa na changamoto tu ..
 
Hii kitu ndio huwa siitaki.

Cancelo,Bernado,Laporte,Gundogan and Walker are reportedly unhappy with Guardiola.
Exit plans on the cards.

'Football 365'
 
Back
Top Bottom