The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

12/15

Arsenal wana morali kuliko city tuhesabu maumivu. Maybe the second one at Etihad.
 
Hii kitu ndio huwa siitaki.

Cancelo,Bernado,Laporte,Gundogan and Walker are reportedly unhappy with Guardiola.
Exit plans on the cards.

'Football 365'
Ndio maana pep anasema wachezaji wana lack passion.

Summer inabidi kuongeza viungo 2 na left back.
 
Hii kitu ndio huwa siitaki.

Cancelo,Bernado,Laporte,Gundogan and Walker are reportedly unhappy with Guardiola.
Exit plans on the cards.

'Football 365'
Ndio maana viwango vinashuka sanaa ,walker alikuwa machine Moja matata ,speed , energy,kupanda na kushuka ....

Cancelo sijui tatizo Nini ,hata kabla ya world cup hakuwa vzuri ...

Laporte nae Toka apate injury pep amekuwa hamwamini Sana ...

Gundogun anataka mkataba mpya ,...

Bernado Toka mwaka Jana alitaka kuondoka,na alikuwa kashasema wazi kabisa ....
 
12/15

Arsenal wana morali kuliko city tuhesabu maumivu. Maybe the second one at Etihad.
Kusema kweli saizi team yetu Haina passion kabisa ,kumfunga arsenal ni ngumu kweli kweli .....

Pep anakazi kubwa Sana kumotivate wachezaji kurudi kwenye hali ya kiupambanaji ..
 
Kusema kweli saizi team yetu Haina passion kabisa ,kumfunga arsenal ni ngumu kweli kweli .....

Pep anakazi kubwa Sana kumotivate wachezaji kurudi kwenye hali ya kiupambanaji ..
Hii ndo hali halisi ilivyo kwa sasa na hilo halipingiki acha tuone tutamalizaje huu msimu
 
Hakuna kuweka Leo kikosi b , arsenal anatakiwa kuonja moto mkali Leo ,ili tukikutana epl confidence awe hana ,[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ambavyo huwa tunamuonea arsenal kwenye ligi ndivyo ambavyo huwa anatuonea FA.

Leo tufute uteja.

city 3 : 2 arsenal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…