Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Angalia usije ukajikojolea.Leo hamtaweza kuchomoka na alama hata Moja kutoka Tottenham Stadium
Mnapigwa Moja kapa na game inaisha.
Huyu na Ake ndo mafaita pale kwa sasa.Rodri Yuko na mentally yakimonster,ubingwa Bado tunapambania ,Hao arsenal tutacheza nao kama final [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Rodri: “Trying to be consistent every three days, knowing you are going to be tired and there are going to be moments where you have to run, deal with the pressure, and suffer sometimes. This is the mentality of champions."
"At the end, we have the #PL experience, and we know that this [situation] is very normal. We know that there are still 18 games remaining and still a lot of points to play for. We know the level of the league and that every game is a final..."
“Maybe in another situation where the league is not that good, I would say ‘OK’, but the league is just there, and every game is a final. We just keep calm, try to go on our road and don’t look too much at our opponents. We will just focus on ourselves." via manchester CityView attachment 2507171
Sasa sahivi hayupo kwenye form bora twende na bishoo tu.Grealish Yuko kwenye form ,ila foden akirudi ni moto mwingine ...
Foden anajua kuforce kwenda mbele , grealish anapoza mashambulizi anasubili weingine waje ...
Foden anauwezo wa kushoot mbali au hata kama yupo angle ngumu anashoot golin Tena Kali ,kama kipa amekaa vibaya ni goal .....hapa namfananisha na greenwood wa man UTD shoot Kali kwenye angle ngumu ....
Kiufupi grealish ni mtu ambaye naweza kusema mambo marahisi anayafanya magumu ,inaweza kupigwa long ball kwenda mbele akaenda kabisa mbele ila akatuliza mpira kuwasubili wengine waje( uwezo wa kuficha mpira anao Tena mkubwa ) ,badala ya kushambulia haraka one vs one ikiwezekana ashoot kabisa .....
Jack kama vile anachelewa kusoma mchezo unaendaje ,anakuwa anadelay kufanya maamuzi ....
Hapo ndipo foden anampiga gap grealish,...
Rico lewis ni mzuri kuliko walker kwenye kuhold mipira na ni pressure resistant. Hicho ni kitu muhimu kwenye build up.Rico yupo vizuri Ila uzoefu wa walker kwenye mechi kama hizi ni muhimu.
Foden form yake imeyumba sana ila hatuwezi jua pep ataamuaje.Ka foden nako kamekua kasenge cku iz hata hakana effect bora bishoo grealish tu.
Bado Nina imani na Ruben dias.Gari bovu uyo hana maajabu Skuiz
Kila nikikumbuka namna Rico alivyopwaya siku ya arsenal naona tunahitaji experienced fullback kupambana na mshikemshike wa son.Rico lewis ni mzuri kuliko walker kwenye kuhold mipira na ni pressure resistant. Hicho ni kitu muhimu kwenye build up.
Labda Kama kipara aamue kumkamia son ndio atamuweka walker.
Hata Rico lewis ni mkabaji mzuri tu labda kama humfatilii.Kila nikikumbuka namna Rico alivyopwaya siku ya arsenal naona tunahitaji experienced fullback kupambana na mshikemshike wa son.
Walker ni mzuri kwenye kuattack ila kutuliza pressure lewis Yuko [emoji91]Hata Rico lewis ni mkabaji mzuri tu labda kama humfatilii.
Tunahitaji kucontrol game zaidi na lewis ndio anafaa hapo.
Bila kumsahau R.MahrezHuyu na Ake ndo mafaita pale kwa sasa.
Hata Mimi nataman aanze huyu jamaa.Bernado silva Leo anaweza kuaanza ...View attachment 2507290
Saizi spurs washatujulia ,hawapaki bus Tena ,Wana turn up na kupanua uwanja ,ndio maana mara nyingi wanatufunga ....Inabidi tuache kupigapiga mipira hovyohovyo na kross kumtafuta haaland.
Hapo tutakuwa na possibility kubwa ya kupoteza mipira na kupigwa counter attack.
Inabidi kuwa na accuracy kubwa kwenye passing na efficient kwenye Ku hold mipira.
Tunahitaji extra body kwenye box atakayekuwa ana link up na midfield ili kurahisisha smooth attacking progress badala ya Ku rush mipira kwa haaland au kupiga kross zisizo na maana.
Mechi ilopita walitupress kwenye half yetu wakatugonga goli za chapchap.Inabidi tuache kupigapiga mipira hovyohovyo na kross kumtafuta haaland.
Hapo tutakuwa na possibility kubwa ya kupoteza mipira na kupigwa counter attack.
Inabidi kuwa na accuracy kubwa kwenye passing na efficient kwenye Ku hold mipira.
Tunahitaji extra body kwenye box atakayekuwa ana link up na midfield ili kurahisisha smooth attacking progress badala ya Ku rush mipira kwa haaland au kupiga kross zisizo na maana.
Saizi spurs washatujulia ,hawapaki bus Tena ,Wana turn up na kupanua uwanja ,ndio maana mara nyingi wanatufunga ....
Mikimbio ya son na Kane ndio ya kuangalia ....
Walivotutangulia goli mbili mara ya kwanza haikuwa bahati mbaya hapani ,waliturn up ,wakapanua uwanja wakawa wanamark man -man ,wakakabia juu, ederson akawa anakosa wa kumpigia mpira .............
Cha mhimu ni kuhakikisha viungo wanakuwa wanyumbulivu Sana ,spurs watakuja ni mbinu hio hio ,ya kucheza mpira ,sio kupark bus kama zamani ...
Spurs kilichowakaribisha golini kwetu ni sisi kukosa control ya mchezo..Mechi ilopita walitupress kwenye half yetu wakatugonga goli za chapchap.
Wanaweza wasitegemee kaunta pekeake.
Ndomana natamani Leo Bernardo aanze maana huwa anacheza deep kusaidia flow ya mipira kuja juu kwa kina kdb.Spurs kilichowakaribisha golini kwetu ni sisi kukosa control ya mchezo..
-Tunahitaji kuwa pin kwenye half yao kwa kuhakikisha tunakuwa efficient kwenye build up.
- kufanya smooth progressing attacks ( kutokupiga mipira hovyohovyo kumtafuta striker)
Na hapa ndipo tunahitaji kdb kufanya kile alichokuwa anafanya msimu uliopita, kulink up midfield na attacking ( ndicho Alvarez alichokifanya kwenye mechi ya 4 : 2).