The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Rodri Yuko na mentally yakimonster,ubingwa Bado tunapambania ,Hao arsenal tutacheza nao kama final [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Rodri: “Trying to be consistent every three days, knowing you are going to be tired and there are going to be moments where you have to run, deal with the pressure, and suffer sometimes. This is the mentality of champions."

"At the end, we have the #PL experience, and we know that this [situation] is very normal. We know that there are still 18 games remaining and still a lot of points to play for. We know the level of the league and that every game is a final..."

“Maybe in another situation where the league is not that good, I would say ‘OK’, but the league is just there, and every game is a final. We just keep calm, try to go on our road and don’t look too much at our opponents. We will just focus on ourselves." via manchester CityView attachment 2507171
Huyu na Ake ndo mafaita pale kwa sasa.
 
Grealish Yuko kwenye form ,ila foden akirudi ni moto mwingine ...

Foden anajua kuforce kwenda mbele , grealish anapoza mashambulizi anasubili weingine waje ...

Foden anauwezo wa kushoot mbali au hata kama yupo angle ngumu anashoot golin Tena Kali ,kama kipa amekaa vibaya ni goal .....hapa namfananisha na greenwood wa man UTD shoot Kali kwenye angle ngumu ....

Kiufupi grealish ni mtu ambaye naweza kusema mambo marahisi anayafanya magumu ,inaweza kupigwa long ball kwenda mbele akaenda kabisa mbele ila akatuliza mpira kuwasubili wengine waje( uwezo wa kuficha mpira anao Tena mkubwa ) ,badala ya kushambulia haraka one vs one ikiwezekana ashoot kabisa .....
Jack kama vile anachelewa kusoma mchezo unaendaje ,anakuwa anadelay kufanya maamuzi ....

Hapo ndipo foden anampiga gap grealish,...
Sasa sahivi hayupo kwenye form bora twende na bishoo tu.
 
Rico lewis ni mzuri kuliko walker kwenye kuhold mipira na ni pressure resistant. Hicho ni kitu muhimu kwenye build up.

Labda Kama kipara aamue kumkamia son ndio atamuweka walker.
Kila nikikumbuka namna Rico alivyopwaya siku ya arsenal naona tunahitaji experienced fullback kupambana na mshikemshike wa son.
 
Hata Rico lewis ni mkabaji mzuri tu labda kama humfatilii.

Tunahitaji kucontrol game zaidi na lewis ndio anafaa hapo.
 
Alikuwepo Jana kwenye training..
mancity-20230205-0001.jpg
 
Inabidi tuache kupigapiga mipira hovyohovyo na kross kumtafuta haaland.

Hapo tutakuwa na possibility kubwa ya kupoteza mipira na kupigwa counter attack.

Inabidi kuwa na accuracy kubwa kwenye passing na efficient kwenye Ku hold mipira.

Tunahitaji extra body kwenye box atakayekuwa ana link up na midfield ili kurahisisha smooth attacking progress badala ya Ku rush mipira kwa haaland au kupiga kross zisizo na maana.
 
Saizi spurs washatujulia ,hawapaki bus Tena ,Wana turn up na kupanua uwanja ,ndio maana mara nyingi wanatufunga ....

Mikimbio ya son na Kane ndio ya kuangalia ....

Walivotutangulia goli mbili mara ya kwanza haikuwa bahati mbaya hapani ,waliturn up ,wakapanua uwanja wakawa wanamark man -man ,wakakabia juu, ederson akawa anakosa wa kumpigia mpira .............

Cha mhimu ni kuhakikisha viungo wanakuwa wanyumbulivu Sana ,spurs watakuja ni mbinu hio hio ,ya kucheza mpira ,sio kupark bus kama zamani ...
 
Mechi ilopita walitupress kwenye half yetu wakatugonga goli za chapchap.

Wanaweza wasitegemee kaunta pekeake.
 
Spurs kilichowakaribisha golini kwetu ni sisi kukosa control ya mchezo..

-Tunahitaji kuwa pin kwenye half yao kwa kuhakikisha tunakuwa efficient kwenye build up.

- kufanya smooth progressing attacks ( kutokupiga mipira hovyohovyo kumtafuta striker)
Na hapa ndipo tunahitaji kdb kufanya kile alichokuwa anafanya msimu uliopita, kulink up midfield na attacking ( ndicho Alvarez alichokifanya kwenye mechi ya 4 : 2).
 
Ndomana natamani Leo Bernardo aanze maana huwa anacheza deep kusaidia flow ya mipira kuja juu kwa kina kdb.

Lewis nae ni baller mzuri kwaiyo atassidia kuongeza stability pale kati tifauti na walker me namuonaga kama mkamiaji tu.
 
Back
Top Bottom