Mnatakiwa kujibu hoja sio kukimbiaPep aachane na PL maana akichukua itaonekana pep anaidharau hio PL [emoji3][emoji3][emoji3],na PL inataka sifa za kusema ni ligi ngumu ....ndio maana vikwazo vimekuwa vingi Sana ..
Wanamuandalia arsenal au man UTD kuchukua league ....
Sis tufocus na fa &CL tutakapo fika ndio hapo hapo ....
Tukutane Championship leagueHizo ni propaganda tu kama walivozusha uefa ,tukataka kupigwa ban ,hazina ushahidi wowote ,hata PL wanasema kama wakiprove means hawajawa na ushahidi kamili .....
UnawashwaTukutane Championship league
Hili mbona ni goal ambalo aguero alichukua epl [emoji2]
Na Ile laana yenu ya UEFAPep aachane na PL maana akichukua itaonekana pep anaidharau hio PL [emoji3][emoji3][emoji3],na PL inataka sifa za kusema ni ligi ngumu ....ndio maana vikwazo vimekuwa vingi Sana ..
Wanamuandalia arsenal au man UTD kuchukua league ....
Sis tufocus na fa &CL tutakapo fika ndio hapo hapo ....
Bora sisi.Na Ile laana yenu ya UEFA
Makombe mtayasikizia redioni mwaka huu
Bora watupunguzie points tu hata tukicheza conference sio mbaya kuliko kutupeleka matopeni kushindana na kina wycombe.Manchester City have been charged by the Premier League for allegedly breaking numerous financial rules between 2009 and 2018
A "range of sanctions"—including points deductions or even expulsion from the league—are possible if the charges are proved, per The Times
Mkuu ukifuatilia huo msimu matumizi ya man city n UTD utagundua united hana tofauti na sisi ila epl kutokana sijui na nin wanakomaa na city .....Bora watupunguzie points tu hata tukicheza conference sio mbaya kuliko kutupeleka matopeni kushindana na kina wycombe.
Pambana na haki yako, sio kitu lazima ujilinganishe na Man unitedMkuu ukifuatilia huo msimu matumizi ya man city n UTD utagundua united hana tofauti na sisi ila epl kutokana sijui na nin wanakomaa na city .....
Hakuna timu imespend kuanzia 2016-2023 kama united na hawana hata kikombe .....full kununua wachezaji wa gharama ,mabillion ya pesa wametumia ila wanatoa macho Kwa city tu .....
Sasa timu zinazotumia pesa na haziulizwi si united [emoji2][emoji2][emoji2]Pambana na haki yako, sio kitu lazima ujilinganishe na Man united