lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 17,951
- 23,705
Mnatakiwa kujibu hoja sio kukimbiaPep aachane na PL maana akichukua itaonekana pep anaidharau hio PL [emoji3][emoji3][emoji3],na PL inataka sifa za kusema ni ligi ngumu ....ndio maana vikwazo vimekuwa vingi Sana ..
Wanamuandalia arsenal au man UTD kuchukua league ....
Sis tufocus na fa &CL tutakapo fika ndio hapo hapo ....