The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Halafu huu ujinga wa pep kumchezesha bernado left back unaweza ukatucost sana tu.
Ake ana manage vizuri hilo eneo kwanini asianze huko?

Cooper jana kaona tuko weak kwenye left back akawaambia vibwengo wake wapitie humohumo na kweli pwaaah tukatoboka.
 
Game ya jana tumekuwa butu kisenge, kuna zile chance walizopata kina foden,laporte, rodri lakini walichokifanya wanajua wenyewe.

ilikuwa tushinde goli 3 kwenda juu.

aaarghhh.
ile chance ya foden yupo na goalkeeper et analazimisha kumpigia haaland wakati yupo nafasi ya kufunga yeye [emoji848]...
 
Halafu huu ujinga wa pep kumchezesha bernado left back unaweza ukatucost sana tu.
Ake ana manage vizuri hilo eneo kwanini asianze huko?

Cooper jana kaona tuko weak kwenye left back akawaambia vibwengo wake wapitie humohumo na kweli pwaaah tukatoboka.
Tulicheza vzuri ni vile tu hatukutaka kumaliza game mapema ...

Hizi ni dalili kuwa hakuna bingwa anaweza kuchukua epl kwa kukosa nafasi nzuri kama zile ...
 
Next: Leipzig

Kwa huu uchezaji wa jana , hawa jamaa watatuua mapema sana.

Pep aanze na ake asee bernado anakuwa anajisahau.
 
Tegemea na lepzig pep akija na mbinu zile zile ....

Bernado anaonekana kama midfielders kwenye sheet ila ni LB ,na anaplay uwanja mzima ...

Shida ya hii tactics ni kuwa Bernardo akisinzia kidogo tu fumba na kufumbua macho ule upande wa kushoto unakuwa exposed wapinzani kupitia kule kule ..... mpira nyavuni...
 
Tulikuwa tunawaua goli nyingi tu ila dah, ubisho mwingii.
 
Tegemea na lepzig pep akija na mbinu zile zile ....

Bernado anaonekana kama midfielders kwenye sheet ila ni LB ,na anaplay uwanja mzima ...

Shida ya hii tactics ni kuwa Bernardo akisinzia kidogo tu fumba na kufumbua macho ule upande wa kushoto unakuwa exposed wapinzani kupitia kule kule ..... mpira nyavuni...
It's pep overthinking that is the problem here.

Anamfanya bernado kama DM ambaye anakuwa tasked kupatrol eneo la left back.

Wakati opponents wanafanya transition, bernado anakuwa yupo katikati sababu rodri nae anakuwa anasogea juu zaidi kwaiyo anaacha pengo kule kushoto.

Jana nottingham wametumia huo mwanya wa sisi kupiga pasi nyingi na bernado kuwa bize kudistribute mipira, wakamvuta laporte wide, katikati likabaki pengo wakamaliza mchezo.
 
Next: Leipzig

Kwa huu uchezaji wa jana , hawa jamaa watatuua mapema sana.

Pep aanze na ake asee bernado anakuwa anajisahau.
Inabidi tuwe clinical golini,ndicho kitu pekee kilichotucost jana.

Uefa inahitaji uchezaji fulani hivi wa kumuheshimu mpinzani wako, tukicheza kwa kutokujiachia sana, kutumia vizuri chance zinazopatikana like what we did to arsenal, Leipzig tunamtoa.
 
Erling Haaland's agent Rafaela Pimenta has said that the city's center foward is priced at €1 billion (approx £890 million) on current market.
 
Christopher nkunku, andre silva, timo wener daaah kwa ile beki yetu duuh.
 
It's pep overthinking that is the problem here.

Anamfanya bernado kama DM ambaye anakuwa tasked kupatrol eneo la left back.

Wakati opponents wanafanya transition, bernado anakuwa yupo katikati sababu rodri nae anakuwa anasogea juu zaidi kwaiyo anaacha pengo kule kushoto.

Jana nottingham wametumia huo mwanya wa sisi kupiga pasi nyingi na bernado kuwa bize kudistribute mipira, wakamvuta laporte wide, katikati likabaki pengo wakamaliza mchezo.
Bernado left back uongo aisee tukicheza na leipzig nyuma kipara aende na ake_dias_laporte_walker

UEFA so pa kufanyia majaribio bana ni kaz kaz.
 
Erling Haaland's agent Rafaela Pimenta has said that the city's center foward is priced at €1 billion (approx £890 million) on current market.
Madrid ndio wanataka kumnunua huyu? huu mpunga sio poa.
 
Bernado left back uongo aisee tukicheza na leipzig nyuma kipara aende na ake_dias_laporte_walker

UEFA so pa kufanyia majaribio bana ni kaz kaz.
Off the ball, silva anacover left back vizuri sana rejea game ya arsenal,villa.

Game ya jana ni vile tulibweteka kwa vile nottingham hawakuwa na constant threat golini kwetu, Wamepata nafasi wakaenda kuoverload kule kwa bernado muda huo yeye yupo out of position.

Ninachoamini ni kwamba, tukiwenza kuwa na ufanisi wa 90% kutumia nafasi tunazopata na kutokujiachia sana na kubweteka kama jana, basi sioni leipzig atachomokea wapi.
 
On the road to Germany:

Serder Gozubuyuk to officiate the UEFA champions league match between RB Leipzig and Manchester City.
 
On the road to Germany:

John stones is the only doubt in City squad ahead of champions league clash against Leipzig on wednesday.
 
On the road to Germany:

RB Leipzig have scored many goals from counter attacks and set pieces than any other Bundesliga club this season.
 
On the road to Germany:

RB Leipzig have dominant record against english clubs at their home ground, Red bull arena.

City were the latest victims.
 
Christopher Nkunku karudi... jumamosi alitokea benchi akatoa assist.

Alitupiga hat trick pale etihad msimu uliopita.
 
City football group have hired Newcastle's coaching analyst, Mark Leyland.

He will now come to a new international position across the clubs within the city group.
 
Back
Top Bottom