ile chance ya foden yupo na goalkeeper et analazimisha kumpigia haaland wakati yupo nafasi ya kufunga yeye [emoji848]...Game ya jana tumekuwa butu kisenge, kuna zile chance walizopata kina foden,laporte, rodri lakini walichokifanya wanajua wenyewe.
ilikuwa tushinde goli 3 kwenda juu.
aaarghhh.
Tulicheza vzuri ni vile tu hatukutaka kumaliza game mapema ...Halafu huu ujinga wa pep kumchezesha bernado left back unaweza ukatucost sana tu.
Ake ana manage vizuri hilo eneo kwanini asianze huko?
Cooper jana kaona tuko weak kwenye left back akawaambia vibwengo wake wapitie humohumo na kweli pwaaah tukatoboka.
Tulikuwa tunawaua goli nyingi tu ila dah, ubisho mwingii.Tulicheza vzuri ni vile tu hatukutaka kumaliza game mapema ...
Hizi ni dalili kuwa hakuna bingwa anaweza kuchukua epl kwa kukosa nafasi nzuri kama zile ...
It's pep overthinking that is the problem here.Tegemea na lepzig pep akija na mbinu zile zile ....
Bernado anaonekana kama midfielders kwenye sheet ila ni LB ,na anaplay uwanja mzima ...
Shida ya hii tactics ni kuwa Bernardo akisinzia kidogo tu fumba na kufumbua macho ule upande wa kushoto unakuwa exposed wapinzani kupitia kule kule ..... mpira nyavuni...
Inabidi tuwe clinical golini,ndicho kitu pekee kilichotucost jana.Next: Leipzig
Kwa huu uchezaji wa jana , hawa jamaa watatuua mapema sana.
Pep aanze na ake asee bernado anakuwa anajisahau.
Christopher nkunku, andre silva, timo wener daaah kwa ile beki yetu duuh.Inabidi tuwe clinical golini,ndicho kitu pekee kilichotucost jana.
Uefa inahitaji uchezaji fulani hivi wa kumuheshimu mpinzani wako, tukicheza kwa kutokujiachia sana, kutumia vizuri chance zinazopatikana like what we did to arsenal, Leipzig tunamtoa.
Bernado left back uongo aisee tukicheza na leipzig nyuma kipara aende na ake_dias_laporte_walkerIt's pep overthinking that is the problem here.
Anamfanya bernado kama DM ambaye anakuwa tasked kupatrol eneo la left back.
Wakati opponents wanafanya transition, bernado anakuwa yupo katikati sababu rodri nae anakuwa anasogea juu zaidi kwaiyo anaacha pengo kule kushoto.
Jana nottingham wametumia huo mwanya wa sisi kupiga pasi nyingi na bernado kuwa bize kudistribute mipira, wakamvuta laporte wide, katikati likabaki pengo wakamaliza mchezo.
Madrid ndio wanataka kumnunua huyu? huu mpunga sio poa.Erling Haaland's agent Rafaela Pimenta has said that the city's center foward is priced at €1 billion (approx £890 million) on current market.
Off the ball, silva anacover left back vizuri sana rejea game ya arsenal,villa.Bernado left back uongo aisee tukicheza na leipzig nyuma kipara aende na ake_dias_laporte_walker
UEFA so pa kufanyia majaribio bana ni kaz kaz.
Sokoni pamechafukwa siku hizi.Madrid ndio wanataka kumnunua huyu? huu mpunga sio poa.