Our defensive stats in ucl are much better than those in epl.kwa beki yetu Leipzig wanaweza kutusuprise mazee.
Akanji simuamini kabisa.Kutokuwepo kwa laporte leo maana yake Akanji ataanza kama pep akiamua kuja na back 4.
Kukosekana kwa kdb kunaweza kumfanya pep akaja na front 2 ya Haaland & Alvarez kama alivyofanya kwenye mechi za spurs (hii itategemea na bernado atacheza nafasi ipi).
Ndio maana nimesema inategemea bernado atacheza nafasi ipi.Akanji simuamini kabisa.
Anaweza kuanza na back 3, bernado akawa anarudi kucheza left back kama alivyofanya hizi mechi 3 zilizopita..
Akianza hivyo ndio itaruhusu Alvarez na Haaland kuanza pamoja..
3-1-4-2
...........Haaland...Alvarez
Grealish...Gundo...Rodri...Mahrez
...............Bernado
Ake.............Dias....... .....Walker
............. Ederson
Hapa bernado anakuwa anacheza kama hybrid deep playmaker-left back.
Huu mfumo wa kuanza na haaland na alvares huwa naona tunakuwa disjointed knoma.Akanji simuamini kabisa.
Anaweza kuanza na back 3, bernado akawa anarudi kucheza left back kama alivyofanya hizi mechi 3 zilizopita..
Akianza hivyo ndio itaruhusu Alvarez na Haaland kuanza pamoja..
3-1-4-2
...........Haaland...Alvarez
Grealish...Gundo...Rodri...Mahrez
...............Bernado
Ake.............Dias....... .....Walker
............. Ederson
Hapa bernado anakuwa anacheza kama hybrid deep playmaker-left back.
Huu ni mzuri kwa timu zinazofunguka kama leipzig, tunakuwa na strong presence kwe box la tim pinzani while at the same time tunakuwa compact defensively (Kama ikiwa ni ordinary back 4 badala ya hybrid back 3 kama hiyo juu).Huu mfumo wa kuanza na haaland na alvares huwa naona tunakuwa disjointed knoma.
We are better with bernado on the pitch.Japo simkubali akanji ila ni bora tuje na back 4 leo maana leipzig wanacheza kwa kushambulia sana.
Bernado anakuwa anajisahau kwenye left back kwaiyo bora aanze ake ambaye anakuwa solid kuliko bernado.
Ni bora twende na basic 4-4-2
..........Haaland....Alvarez
Grealish...Gundogan...Rodri...Mahrez
Ake......Akanji.....Dias.....Walker
................Ederson
Bila kdb Leo haaland kuscore ni mtihani kusema kweli ...Sjui ka tutatoboa
Tunashinda hofu ya nin wewe?Sjui ka tutatoboa
Mwamba una iman sana na bernado ila kumbuka ile ni uefa bro, haitakiwi kuwa na makosa makosa na kujisahau.We are better with bernado on the pitch.
Tangu bernado amekuwa introduced kwenye hilo eneo, city tumekuwa tukitengeneza nafasi nyingi kuliko hapo awali.
Mechi ya nottingham japo tulidroo lakini tulitengeneza nafasi za kutosha ambazo kama tungezitumia, tungeshinda zaidi ya goli 5. Tuliucontrol mchezo kwa kiwango kikubwa sana. We did the same to villa.
Hata defensively bernado yuko vizuri hasa tukicheza na timu inayoshambulia (kama arsenal), muda mwingi anakuwa pinned kwenye left back kudeal na threat.
nottingham hawakuwa na threat ndio maana akawa bize kwenye CM role.
Hivi kuna game yoyote tulishashinda tukiwa kwenye jezi hii kweli?Tukivaa hizi jersey huwa hatutoboi ...View attachment 2526121
Wacha tuoneTunashinda hofu ya nin wewe?
wale watatupa tough game tu ila lazima wakae.
Leipzig 1-2 City.
NdioHivi kuna game yoyote tulishashinda tukiwa kwenye jezi hii kweli?
Hahah au sio.Ndio
Manchester city 2 : 0 Bolton wanderers