Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Newcastle saizi sio ile ya mwanzo ,wamechoka mnoo ,walitumia nguvu nyingi wakati ligi inanza ,Sasa pumzi imekata kabisa ...Tutarudi hapa [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Newcastle saizi sio ile ya mwanzo ,wamechoka mnoo ,walitumia nguvu nyingi wakati ligi inanza ,Sasa pumzi imekata kabisa ...Tutarudi hapa [emoji23]
Wewe hata mpira huwa unaangalia kweli?Beki Akanji na Ake huwezi mfunga huyu Newcastle,nakataa mkuu
Nenda jukwaa la wanaaseno wenzio ukawaulize we jamaa.Arsenal inanipa raha sana msimu huu,hivi zile Tshirt za Arsenal mtaani zinauzwa bei gani,nataka ninulie familia yangu yote...
Burnley wanakiwasha kisenge kule championship af uyo kompany anazielewa tactics za pep fresh.. apo kuna mtiti.I saw it coming.
Manchester city vs Burnley ....FA cup quater final.
Welcome back VK.
Wale wanaweza kufufukia kwetu haya mambo ya mpira waga yana vi suprise.Newcastle saizi sio ile ya mwanzo ,wamechoka mnoo ,walitumia nguvu nyingi wakati ligi inanza ,Sasa pumzi imekata kabisa ...
Hao wanaofanya draw za fa wamefanya maksudi ....Burnley wanakiwasha kisenge kule championship af uyo kompany anazielewa tactics za pep fresh.. apo kuna mtiti.
Newcastle anakufa mapema mkuu ,subili utaona ....Wale wanaweza kufufukia kwetu haya mambo ya mpira waga yana vi suprise.
Game zetu ngumu ...Now we are level with our opponents Arsenal in terms of games played.
we're 5 points off the top of table.
Here we go the Cityzens.
City's tunabeba Epl , Arsenal atakuja pigwa na team 2 ndogo tusizozitarajia na kutoa draws kwa team 2 ambazo ni big matches na mwisho wa siku atashuhudia epl hiyo to ETIHAD.Game zetu ngumu ...
Vs Liverpool
Vs arsenal
Vs Chelsea
Arsenal na yeye game ambazo naona ni ngumu kwake ...
Vs Liverpool
Vs man city
Vs Chelsea
Mwezi April ndio unaenda kuamua Nan bingwa hasa ....
Arsenal nina uhakika kuna point 3 ataacha anfield, 3 etihad.Game zetu ngumu ...
Vs Liverpool
Vs arsenal
Vs Chelsea
Arsenal na yeye game ambazo naona ni ngumu kwake ...
Vs Liverpool
Vs man city
Vs Chelsea
Mwezi April ndio unaenda kuamua Nan bingwa hasa ....
Itategemea na form yetu.City's tunabeba Epl , Arsenal atakuja pigwa na team 2 ndogo tusizozitarajia na kutoa draws kwa team 2 ambazo ni big matches na mwisho wa siku atashuhudia epl hiyo to ETIHAD.
Wewe hata mpira huwa unaangalia kweli?
Perfomance ya Ake kwasasa iko juu sana zaidi ya kipindi chochote kile akiwa ndani ya uzi wa city.
Arsenal nina uhakika kuna point 3 ataacha anfield, 3 etihad.
Arsenal nina uhakika kuna point 3 ataacha anfield, 3 etihad.