Ngoja tuone maybe tunaweza kutoboa maana uefa nayo huwa haitabirik sometimez.Mim mwenyewe Sina hata wasiwasi na CL mwaka huu ,maana sijaona kikosi cha kutisha chenye morali kama mwaka Jana na juzi ...kiufupi mwaka wa pep kuchukua CL ilikuwa misimu miwili nyuma ...Kwa Sasa lazima atakuna upara Sana ...
we boya ulikuwa umekula ban kumbe..Kila la kheri crystal Palace
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂we boya ulikuwa umekula ban kumbe..
Safi sana mods.
Na ndivyo itavyokuaCrystal palace hawajashinda mechi yoyote toka mwaka huu uanze, wasije kufufukia kwetu.
Hao wamatumbi leo watusamehe tu.Na ndivyo itavyokua
Legend wetu yupo pale
Mahrez mpaka rangi sana, tunahitaji mtu anayefanya runs ndani ya box kuongeza idadi ya attackers, foden anafaa kabisa kuanza na yupo on fire sasahivi..Foden nae angepumzishwa akaanza mahrez
Kuwa bench ndio kupumzishwa? Angemtoa kabisa kwenye squadPep kampumzisha kdb leo. Kwa ajili ya Leipzig.
Kocha kupumzisha key players sio lazima awatoe kwenye squad, usikariri, sio kila sub inakuwa used.Kuwa bench ndio kupumzishwa? Angemtoa kabisa kwenye squad