Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Walker akibambia ..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu kubwa dunia .... Manchester cityHaka ka timu kumbe nako kana mashabiki.
Kutoa assist sio issue man.Jana katoa assist bana ,na kaingia dakika ya 80 ..
Ule uwanja wa palace sio mzuri kwetu ,ila wachezaji wamekaa week nzima free ,tukiingia na energy ,tunamaliza game mapema ....Mechi ijayo tuko na wamatumbi Crystal Palace, Keshokutwa.
Walker muhuni.Walker akibambia ..View attachment 2543303
Wanatukamiaga sana wale mbwa.Mechi ijayo tuko na wamatumbi Crystal Palace, Keshokutwa.
Wanasema mpira unadunda ila sio kwenye maji.Madrid anatolewa na Liverpool
Usikimbie hapa
Bayern wako serious na kazi mazee.Msimu huu timu zote hazipo serious in fact timu yeyote ikikomaa inabeba kombe.
Kisa nin?This season we goin down trophyless
Crystal palace wamekuwa wakitupa tough game, uchezaji wao hautofautiani sana na Newcastle, wanadepend kwenye physicality zaidi.Wanatukamiaga sana wale mbwa.
msim huu tunapiga nje ndani.
Mkuu, twende na takwimu pia.Kisa nin?
EPL tunashika nafasi ya 2 tunaachwa point 5 na arsenal huku bado mechi 12 na huyo arsenal tuna mechi nae.
Tupo FA cup hatua ya robo fainali.
Tupo UEFA hatua ya 16 bora.
Sas unasema tunaondoka trophyless kwa msingi upi? Kisa tunadroo na nottingham kwenye ligi?
Hahaha duh!This season we goin down trophyless
Lig yenyewe bado iko open hii lakin watu washamuita arsenal bingwa na bado mech 12.Mkuu, twende na takwimu pia.
Kwenye european competitions (UEFA, europa, conference), ni Bayern pekee yenye defensive record nzuri kuliko City kwenye wastani wa kuruhusu magoli kwa mechi.
Bayern wanashika nafasi ya kwanza wakiwa na wastani wa 0.25 goals per match.
City tunashika nafasi ya pili tukiwa na wastani wa 0.43 goals per match which is superb kuliko hata msimu uliopita.
Kwenye FA cup ni city pekee yenye wastani wa 0.00 goals conceded per match, hatujaruhusu goli lolote.
My take: ni mapema kujiita trophyless, city kwenye michuano mingine inatoa picha tofauti na city kwenye EPL.
"attackers will win you games, defence will win you trophies"
Sir Fergie.
Unakumbuka tulivo tolewa na southmptom carabao kama masiala kabisa ,goli 2 -0 .....hakuna aliyetegemea kabisa , issues ni pep kuwa serious na haya makombe ...Hahaha duh!
Sababu tunaachwa point 5 na arsenyau?
Sababu tumedroo na leipzig first leg?
Sababu FA cup kuna man u?
Bado mapema mno bana.
Mkuu.Unakumbuka tulivo tolewa na southmptom carabao kama masiala kabisa ,goli 2 -0 .....hakuna aliyetegemea kabisa , issues ni pep kuwa serious na haya makombe ...
Fa na Burney sio game nyepesi hii ,kompany anaweza fanya maajabu ...