The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Walker akibambia ..
mancityzenscom-20230309-0001.jpg
 
Jana katoa assist bana ,na kaingia dakika ya 80 ..
Kutoa assist sio issue man.
Hajafiti kwenye mfumo wa kocha.

Julian Niggelsman kasema kwenye aproach yake ya back 3 anataka beki awe solid defensively, kitu ambacho Josip Stanisic na De light wapo vizuri zaidi ya Cancelo.

Kwenye wide midfield wana Kingsley coman na Alphonso Davies ambao ni more aggressive kuliko Cancelo.

Shida ni approach ya kocha haim-accomodate Cancelo.
 
Huu msimu Bora hatuko favorite kwenye CL ,maana kila tukiwa favorite tunatolewa kizembe kabisa ....
 
Msimu huu timu zote hazipo serious in fact timu yeyote ikikomaa inabeba kombe.
Bayern wako serious na kazi mazee.
Kwenye uefa defence yao inatisha, kule mbele napo hawacheki na kima, na hapo ndio kwanza mtu kama mane anatoka kwenye majeruhi.
Ngoja tuone lakini itakavyokuwa.
 
This season we goin down trophyless
Kisa nin?
Bado tunashiriki kwenye mashindano matatu na yote yapo wazi bado.

EPL tunashika nafasi ya 2 tunaachwa point 5 na arsenal huku bado mechi 12 na huyo arsenal tuna mechi nae.

Tupo FA cup hatua ya robo fainali.

Tupo UEFA hatua ya 16 bora.

Sas unasema tunaondoka trophyless kwa msingi upi? Kisa tunadroo na nottingham kwenye ligi?

Huwezi ukatumia perfomance ya ligi kutabiri perfomance ya kwenye cups.
 
Wanatukamiaga sana wale mbwa.
msim huu tunapiga nje ndani.
Crystal palace wamekuwa wakitupa tough game, uchezaji wao hautofautiani sana na Newcastle, wanadepend kwenye physicality zaidi.

Timu zinazocheza physical game huwa sio za kupigia pasi nyingi, ni kuwa direct na aggressive muda wote.

Pasi nyingi za nipe nikupe huwa zinatucost kwa timu za namna hii.
 
Kisa nin?

EPL tunashika nafasi ya 2 tunaachwa point 5 na arsenal huku bado mechi 12 na huyo arsenal tuna mechi nae.

Tupo FA cup hatua ya robo fainali.

Tupo UEFA hatua ya 16 bora.

Sas unasema tunaondoka trophyless kwa msingi upi? Kisa tunadroo na nottingham kwenye ligi?
Mkuu, twende na takwimu pia.

Kwenye european competitions (UEFA, europa, conference), ni Bayern pekee yenye defensive record nzuri kuliko City kwenye wastani wa kuruhusu magoli kwa mechi.

Bayern wanashika nafasi ya kwanza wakiwa na wastani wa 0.25 goals per match.
City tunashika nafasi ya pili tukiwa na wastani wa 0.43 goals per match which is superb kuliko hata msimu uliopita.

Kwenye FA cup ni city pekee yenye wastani wa 0.00 goals conceded per match, hatujaruhusu goli lolote.

My take: ni mapema kujiita trophyless, city kwenye michuano mingine inatoa picha tofauti na city kwenye EPL.

"attackers will win you games, defence will win you trophies"
Sir Fergie.
 
Lig yenyewe bado iko open hii lakin watu washamuita arsenal bingwa na bado mech 12.
 
Kama uefa Madrid na buyern Bado wapo ....basi Sion mwingine ,,,....kuwatoa Hao Kwa game za home and away sio mchezo ...

Lakin maajabu yapo mwaka Jana Villarreal alimtoa buyern munich kama masiala hivi [emoji23][emoji23]......
 
Hahaha duh!

Sababu tunaachwa point 5 na arsenyau?

Sababu tumedroo na leipzig first leg?

Sababu FA cup kuna man u?

Bado mapema mno bana.
Unakumbuka tulivo tolewa na southmptom carabao kama masiala kabisa ,goli 2 -0 .....hakuna aliyetegemea kabisa , issues ni pep kuwa serious na haya makombe ...

Fa na Burney sio game nyepesi hii ,kompany anaweza fanya maajabu ...
 
Mkuu.
Labda niseme tu, bado sijaona city ya kuondoka trophyless msimu huu.
 
Back
Top Bottom