Nyie MamaCita mkipoteza game ya leo mtawafanya Arsenyo wazidi kuvimba kichwa, hebu watandikeni hao Palace ili mzidi kuitia presha hio misukule ya Arteta.
Hapa tunapaswa ku win hii game aise pamoja na lengo la kupunguza point kwa Arsenal, nia nyingine ili tuwe na nguvu zaidi kwa mechi ya tarehe 14 na RB Leipzig tukiwa home.