The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

It has been easier than I thought it would be.

Tumewakamata leipzig kwenye kila eneo.
Tumekuwa clinical kwa kiasi kikubwa sana kutumia nafasi tunazopata, what a perfomance.
 
Rodri awe makin na back pass ,naona haziko accurate sana ,ile pass aliyopiga nimejikuta natukana bonge la tusi ...
 
It has been easier than I thought it would be.

Tumewakamata leipzig kwenye kila eneo.
Tumekuwa clinical kwa kiasi kikubwa sana kutumia nafasi tunazopata, what a perfomance.
Lile goli la tatu haaland anasema ni la dias ...

ila yule beki wa lebzig alikuwa anafanya clearence asingekuwa haaland...
 
Back
Top Bottom