Cornwallis
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 940
- 853
Lile goli la tatu haaland anasema ni la dias ...It has been easier than I thought it would be.
Tumewakamata leipzig kwenye kila eneo.
Tumekuwa clinical kwa kiasi kikubwa sana kutumia nafasi tunazopata, what a perfomance.
In any way, ushindi muhimu.Lile goli la tatu haaland anasema ni la dias ...
ila yule beki wa lebzig alikuwa anafanya clearence asingekuwa haaland...
Rodri anataka kuleta mzaha atuvurugie sherehe aseeRodri awe makin na back pass ,naona haziko accurate sana ,ile pass aliyopiga nimejikuta natukana bonge la tusi ...
Haya kamdomo kako kamekuponza wala hukushawishiwa na mtu, sasa twakusihi utuondokee humu kuanzia saa hii.Kila la kheri Leipzig
Mwacity mkishinda naacha kutumia jf
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pep kawahunia.Oyaaaaaa Leipzig wapewe msaada tutaua.
Yametimia mkuuTukiwapiga 5 sio mbaya.
Kitu ingine 6:0Haalaaand