Haaland kafikisha gori 10 za Uefa Cl msimu huu.
Haaland kawa mchezaji wa tatu kufunga gori 5 katika mechi 1 Uefa Cl,sawa na Lionel Messi pamoja na Luiz Adriano.Tunasema hongera kwake ila asingetolewa pengine angeivunja record hii kwa upepo alokuwa nao leo.