The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

UEFA - quarter final

FA cup - quarter final

PL- second place with 5 points off the top.

Treble Loading ...........
Inabidi tukamalizane na legend wetu, Vincent kompany jumamosi then tuanze mahesabu mengine, kompany anaweza kutusumbua Huyu japo ushindi bado upo.
 
Burnley up next.

FA cup quarter final showdown.

Etihad stadium.

Let's go the Cityzens.
 
Julian Alvarez usiku wa leo anatarajiwa kusaini mkataba mpya wa miaka 5 ambao utambakisha City mpaka 2028 pamoja na ongezeko la mshahara.
 
Mimi nataka tupewe Madrid, ubingwa kama upo upo tu, kama haupo haupo hata kama tukipewa benfica.
Mkuu acha kabisa hizi mambo mim simtamani kabisa Madrid Kwa Sasa ,naomba wakapasuane kwanza na buyern munich huko .... mengine ndio yatafuata [emoji23][emoji23]
 
Pep naona kashaanza kijibizana na kocha wa Napoli ....

Naiona draw ya city vs Napoli .....
 
Pep naona kashaanza kijibizana na kocha wa Napoli ....

Naiona draw ya city vs Napoli .....

No nyie mnatoa rushwa kama Barca ya 2000’s!
Mtapewa AC Milan kisha Bayern watapasuana na Madrid
Baadae Bayern atapewa Napoli na nyie semi mtapewa Benfica
Lkn Mane atawapasua final
Hamna team yyt zaidi ya rushwa msimu huu
 
Utoe rushwa UEFA ,?? Wwe ni mwehu kweli
 
No nyie mnatoa rushwa kama Barca ya 2000’s!
Mtapewa AC Milan kisha Bayern watapasuana na Madrid
Baadae Bayern atapewa Napoli na nyie semi mtapewa Benfica
Lkn Mane atawapasua final
Hamna team yyt zaidi ya rushwa msimu huu
Acha kubwatuka wewe. Hiyo rushwa umeiona?
 
.hii draw ni fixed kudadekii [emoji23]
FB_IMG_16790534942549379.jpg
 
Hii kampeni ya kudhalilisha team za uingereza na real Madrid [emoji23][emoji91]...

ili kuprove kuwa laliga >Premier league
 
Tufocus na PL guys ,arsenal anaweza kupoteana game 11 zilizobaki cha mhimu ni kupambana na game zote zilizobaki ....

Kuhusu CL njia ni nyembamba sana Tena yenye miba ...
Wembamba uko wapi hapo hiyo timu ya kawaida hapo ni kukomaa kiume mwaka huu fainali na kombe lipo kwetu
 
Wembamba uko wapi hapo hiyo timu ya kawaida hapo ni kukomaa kiume mwaka huu fainali na kombe lipo kwetu
Ukomae kiume mbele ya buyern munich home and away ......

Hata ukipita ukutana na real Madrid home au cheslea home and away ,,hizo zote ni team zenye histroria kubwa san CL ,yaan wanauzoefu ambao sio wa nchii hii [emoji23][emoji23]

CL sometimes history inacheza kama hujui ...

Unaleta hisia hapa kwenye football...

Labda maajabu yafanyike ....
 
Hii ni footbal brother, yeyote anapigwa acha kuandaa matokeo mfukoni.
 
Back
Top Bottom