Cornwallis
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 940
- 853
Inabidi tukamalizane na legend wetu, Vincent kompany jumamosi then tuanze mahesabu mengine, kompany anaweza kutusumbua Huyu japo ushindi bado upo.UEFA - quarter final
FA cup - quarter final
PL- second place with 5 points off the top.
Treble Loading ...........
Mimi nataka tupewe Madrid, ubingwa kama upo upo tu, kama haupo haupo hata kama tukipewa benfica.Tunaweza kupewa Chelsea au Napoli next round ...
Mkuu acha kabisa hizi mambo mim simtamani kabisa Madrid Kwa Sasa ,naomba wakapasuane kwanza na buyern munich huko .... mengine ndio yatafuata [emoji23][emoji23]Mimi nataka tupewe Madrid, ubingwa kama upo upo tu, kama haupo haupo hata kama tukipewa benfica.
Pep naona kashaanza kijibizana na kocha wa Napoli ....
Naiona draw ya city vs Napoli .....
Utoe rushwa UEFA ,?? Wwe ni mwehu kweliNo nyie mnatoa rushwa kama Barca ya 2000βs!
Mtapewa AC Milan kisha Bayern watapasuana na Madrid
Baadae Bayern atapewa Napoli na nyie semi mtapewa Benfica
Lkn Mane atawapasua final
Hamna team yyt zaidi ya rushwa msimu huu
Acha kubwatuka wewe. Hiyo rushwa umeiona?No nyie mnatoa rushwa kama Barca ya 2000βs!
Mtapewa AC Milan kisha Bayern watapasuana na Madrid
Baadae Bayern atapewa Napoli na nyie semi mtapewa Benfica
Lkn Mane atawapasua final
Hamna team yyt zaidi ya rushwa msimu huu
Wembamba uko wapi hapo hiyo timu ya kawaida hapo ni kukomaa kiume mwaka huu fainali na kombe lipo kwetuTufocus na PL guys ,arsenal anaweza kupoteana game 11 zilizobaki cha mhimu ni kupambana na game zote zilizobaki ....
Kuhusu CL njia ni nyembamba sana Tena yenye miba ...
Ukomae kiume mbele ya buyern munich home and away ......Wembamba uko wapi hapo hiyo timu ya kawaida hapo ni kukomaa kiume mwaka huu fainali na kombe lipo kwetu
Open draw hiyo mzeebaba hakuna cha fixing hapo..hii draw ni fixed kudadekii [emoji23]View attachment 2555298
Hii ni footbal brother, yeyote anapigwa acha kuandaa matokeo mfukoni.Ukomae kiume mbele ya buyern munich home and away ......
Hata ukipita ukutana na real Madrid home au cheslea home and away ,,hizo zote ni team zenye histroria kubwa san CL ,yaan wanauzoefu ambao sio wa nchii hii [emoji23][emoji23]
CL sometimes history inacheza kama hujui ...
Unaleta hisia hapa kwenye football...
Labda maajabu yafanyike ....