The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Ni Bora mjiondoe mapema kuliko kipigo mtakachokutanacho toka kwa Bavarian Bayern kama mnabisha waulize barcenyeto na arsenyeto
 
Naiamini timu niliyo nayo na historia ipo kwa kuvunjwa au kuendeleza hivyo najua huwez kuwa mtu wa mpira ukamshambulia mtu wa mpira
Tambua kwenye mpira chochote kinaweza kutokea
 
Ni Bora mjiondoe mapema kuliko kipigo mtakachokutanacho toka kwa Bavarian Bayern kama mnabisha waulize barcenyeto na arsenyeto
Hii sio barcenyeto wala arsenyeto.
We are the Cityzens.

Namuonea huruma Cancelo kapishana na kombe.
 
Hio April tuna game nyingi Tena kubwa

Vs Liverpool

Vs arsenal

Vs buyern munich home

Vs buyern munich away

Team yetu mnaijua kabisa kwenye CL ilivo tia maji tia maji [emoji23][emoji23]

PL is there guys tufocus huko ...
Kwa sisi wanaume tuna msemo unao sema napambana ili niashi ndoto yangu

Hivyo man city lazima ipambane ili ndoto ifikie iwe kweli
 
Pep akituliza kichwa buyern tunaweza kuwasuprise ...


Uzuri team yetu this time Haiko favourite kabisa ...

Tukipewaga mateam mepesi ndio tunakuwa favorite na kujisahau ,tunatolewa kirahisi mnoo ...
Mfupa mgumu sana kwa Pep....ila atakayepita huenda akacheza fainali.
 
Sijui kama sheria za UEFA zitamruhusu cancelo acheza game yetu ....

Cancelo kacheza game zote za group stage CL na city ....
 
Bayern hatoamin kwa matokeo atakayoyapata baada ya mech ya pili
 
Tukiweza kumtoa bayern, hapo madrid au chelsea hawana chao, shughuli inakuja tena kwa napoli final maana ile route yao sioni wa kumzuia.
 
Tuachane na habari za bayern kwasasa, Tuconcentrate kwenye mchezo wa kesho tuko na burnley pale etihad kwenye robo fainali ya FA.
 
Tuachane na habari za bayern kwasasa, Tuconcentrate kwenye mchezo wa kesho tuko na burnley pale etihad kwenye robo fainali ya FA.
Vinn anakuja kumpa challenge pep ...

Burnely sio wanyonge kiivo ,anatembeza kichapo huko championship....
 
Vinn anakuja kumpa challenge pep ...

Burnely sio wanyonge kiivo ,anatembeza kichapo huko championship....
Nimewaona.. Nategemea tough game kutoka kwa burnley kwaiyo hatutakiwi kuingia kizembezembe, tuwapelekee moto.
 
Huu msimu bana.

Epl tunashindana na Arsenal ambao wana Jesus na Zinchenko (Former city players)


FA tuko na Burnley ambao wana Kompany (City legend)


UEFA tuko na Bayern ambao wana Cancelo (City player on loan)
 
Nyie mambanga mwisho wenu ndio umefika. Uefa ina wenyewe, hamuna chemistry nzuri na hili kombe, Bayern Munich atawalala😀😀
 
Nyie mambanga mwisho wenu ndio umefika. Uefa ina wenyewe, hamuna chemistry nzuri na hili kombe, Bayern Munich atawalala
Chali angu uko na madrid halafu unatuletea habari za chemistry humu!
mtoe madrid kwanza halafu utatukuta kwa mbele.
 
Burnley are unbeaten in their last 17 matches in all competitions. They haven't lost since the turn of the year.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…