Mambo ya new coach bounce.Crystal palace wametimua kocha kesho wanaweza kuingia na energy kubwa kidogo wakapata hata sare na arsenal...
FT
City 6:0 Burnley
Aisee kdb acha aitwe kdb.
Alvarez ni mashine nyingine ile, nmefurahi kaongeza mkataba mpya.
Bayern aje ata kesho.
Unatumia hoja za Mpira wa kizamani kwenye Mpira wa kisasa.Mnajidanganya sana sana sana!
Kumfunga Leipzig na Burnley ndiyo mnamtaka Bayern?
Bayern anakufunga nje na ndani
Infact ukichanganya teams hizi 2 iwe moja ni Haaland tu toka City ata anza na ni kipa Ederson tu ata make bench
Bayern ni mnyama mwingine kabisa,msijidanganye
Unatumia hoja za Mpira wa kizamani kwenye Mpira wa kisasa.
This is modern football brother, haiangalii una nani kwenye kikosi ukijichanganya unapigika vizuri tu.
Wakati liva mnakula 7 kwa Villa (2020) ni mchezaji gani wa Villa angepata namba Liverpool?
Wakati Man city anapigwa 3-1 na Norwich (2019), mchezaji gani wa Norwich angepata namba city au hata benchi tu?
Wakati Chelsea anapigwa 5 na West brom (2021), ni mchezaji gani wa W.brom angepata namba chelsea?
Kulinganisha vikosi ni hoja za mtu asiyejua mpira.
Narudia tena kusema, hoja ya kulinganisha vikosi ni ya watu wasiojua mpira.Hizo ni case nadra sana kutokea LKN UCL ni two legged,huwezi bahatisha two legged.
Beki Akanji na Ake hawawezi hata make sub ktk ile Bayern yenye mabeki wale.
Anakupiga Itihad
Anakupiga Allianza
Acheni kuwaza ujinga. Shindeni mechi zenu kwanza!Mambo ya new coach bounce.
Hii inshu iliwakuta kwenye mechi ya Everton wakapigwa kimoko, labda kesho palace wanaweza kutupa favour.
Naona njia nyeupe final.Man city will face Sheffield united in the FA cup semi final at Wembley stadium.
Endelea kujikojolea ila wewe na huyo unaempigia debe wote napiga.Points 8 Arsenal kaongeza gap
April 1 itakua hiyo hiyo au mkijitahidi sana points 7
Man City ya Akanji na Ake haiwezi mfunga Liverpool
Nakukumbusha tu, pale etihad ukija tunapiga kama kawaida yetu bado sijaona arsenal ya kumfunga city.Acheni kuwaza ujinga. Shindeni mechi zenu kwanza!
Sioni sheff wakituzuia bali naiona Manchester derby pale wembley.Naona njia nyeupe final.
Haya tuseme umeshinda etihad, nani atakuwa juu ya msimamo?Nakukumbusha tu, pale etihad ukija tunapiga kama kawaida yetu bado sijaona arsenal ya kumfunga city.
Endelea kufunga vibopa wenzio.
Endelea kujikojolea ila wewe na huyo unaempigia debe wote napiga.
Kulingana na kanuni za FA, Tommy Doyle na James McAtee hawatoweza kucheza dhidi ya Manchester City.
Wachezaji wa mkopo hawaruhusiwi kucheza dhidi ya klabu zao mama.