The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Haya ma international brake yasingekuepo tukaendelea kufurahia mbungi.
 
Crystal palace wametimua kocha kesho wanaweza kuingia na energy kubwa kidogo wakapata hata sare na arsenal...
Mambo ya new coach bounce.

Hii inshu iliwakuta kwenye mechi ya Everton wakapigwa kimoko, labda kesho palace wanaweza kutupa favour.
 
Draw ya semi final ni kesho, baada ya mechi nyingine za robo fainali kuisha, tukutane Wembley.
 
FT
City 6:0 Burnley

Aisee kdb acha aitwe kdb.
Alvarez ni mashine nyingine ile, nmefurahi kaongeza mkataba mpya.

Bayern aje ata kesho.

Mnajidanganya sana sana sana!
Kumfunga Leipzig na Burnley ndiyo mnamtaka Bayern?

Bayern anakufunga nje na ndani
Infact ukichanganya teams hizi 2 iwe moja ni Haaland tu toka City ata anza na ni kipa Ederson tu ata make bench

Bayern ni mnyama mwingine kabisa,msijidanganye
 
Unatumia hoja za Mpira wa kizamani kwenye Mpira wa kisasa.

This is modern football brother, haiangalii una nani kwenye kikosi ukijichanganya unapigika vizuri tu.

Wakati liva mnakula 7 kwa Villa (2020) ni mchezaji gani wa Villa angepata namba Liverpool?

Wakati Man city anapigwa 3-1 na Norwich (2019), mchezaji gani wa Norwich angepata namba city au hata benchi tu?

Wakati Chelsea anapigwa 5 na West brom (2021), ni mchezaji gani wa W.brom angepata namba chelsea?

Kulinganisha vikosi ni hoja za mtu asiyejua mpira.
 
Hizo ni case nadra sana kutokea LKN UCL ni two legged,huwezi bahatisha two legged.
Beki Akanji na Ake hawawezi hata make sub ktk ile Bayern yenye mabeki wale.

Anakupiga Itihad
Anakupiga Allianza
 
Hizo ni case nadra sana kutokea LKN UCL ni two legged,huwezi bahatisha two legged.
Beki Akanji na Ake hawawezi hata make sub ktk ile Bayern yenye mabeki wale.

Anakupiga Itihad
Anakupiga Allianza
Narudia tena kusema, hoja ya kulinganisha vikosi ni ya watu wasiojua mpira.

Kwaiyo kama Ake na Akanji hawawezi kupata namba Bayern hiyo ndio guarantee ya Bayern kutufunga?

Wakati huyo bayern anatolewa na Villareal msimu uliopita ni wachezaji gani wa villareal wangepata namba Bayern? au na yenyewe haikuwa two legged?
 
Points 8 Arsenal kaongeza gap
April 1 itakua hiyo hiyo au mkijitahidi sana points 7
Man City ya Akanji na Ake haiwezi mfunga Liverpool
 
Man city will face Sheffield united in the FA cup semi final at Wembley stadium.
 
Points 8 Arsenal kaongeza gap
April 1 itakua hiyo hiyo au mkijitahidi sana points 7
Man City ya Akanji na Ake haiwezi mfunga Liverpool
Endelea kujikojolea ila wewe na huyo unaempigia debe wote napiga.
 
Kulingana na kanuni za FA, Tommy Doyle na James McAtee hawatoweza kucheza dhidi ya Manchester City.

Wachezaji wa mkopo hawaruhusiwi kucheza dhidi ya klabu zao mama.
 
Endelea kujikojolea ila wewe na huyo unaempigia debe wote napiga.

Ulimpiga lkn kakuzidi points 8.
Unampiga Arsenal kisha unaenda dondosha points kwa Everton au Nothingham Forest.
Obafemilulwe Ibambiola Emanuel Akanji hawezi akakupa EPL.
 
Kulingana na kanuni za FA, Tommy Doyle na James McAtee hawatoweza kucheza dhidi ya Manchester City.

Wachezaji wa mkopo hawaruhusiwi kucheza dhidi ya klabu zao mama.

Ndiyo kombe pekee ambalo mfunga magoli 100+ kwa msimu Haaland anaweza lipata,na bado hakuna uhakika sababu Man U Ataingia FA final.
EPL tayari Arsenal kalichukua na UCL mwisho wenu ni kwa Bayern.
Inasikitisha sana sana sana
 
Back
Top Bottom